Wewe unawaonaje?wao hawawezi kujitafutia?
Kama unataka wapewe chakula na mkwe wao basi hawajiweziWewe unawaonaje?
Ni mamazo yako good jobππKama unataka wapewe chakula na mkwe wao basi hawajiwezi
ππ€£π πππππππ€£π πππππππ€£π πππππWako wapi niende nikawakataze?
mamazo ndio nini?Ni mamazo yako good jobππ
Sio kwamba waume zao ni wakevi pindukia wanasahau kuwapa haki yao mpaka wanawake wanakimbilia nchi ya jirani?Nyege hawana ndio maana wanaamua tu wajigide na kujimiminia mipombe walale baada ya uchovu wa kutwa nzima
Mawazo yakomamazo ndio nini?
kwanini nyie wachaga hampendi kuoa wanawake wa kichagaπMawazo yako
Walevi, wakajenga vizuri kwao? Hao ambao sio walevi nyumba zao mbavu za mbwa , tunawajua vizuri sana ni vile tunafanya utu tuπSio kwamba waume zao ni wakevi pindukia wanasahau kuwapa haki yao mpaka wanawake wanakimbilia nchi ya jirani?
Tunapenda na tunaoa , ndio kwanza nasikia kwako leokwanini nyie wachaga hampendi kuoa wanawake wa kichagaπ
Baaaaaaasssss!!! Kuna nini tenaPombe inataka mtu mwenye pesa..!!
ππππ upo sahihi kweli unawajuaWalevi, wakajenga vizuri kwao? Hao ambao sio walevi nyumba zao mbavu za mbwa , tunawajua vizuri sana ni vile tunafanya utu tuπ
Tz yote ipo kiganjani mtu ataje kwao tu , nimpe data zao vizuri kulinganisha na sisi walevi wakutupaπππππ upo sahihi kweli unawajua
huku town kila mchaga kaoa kabila lingine nawataniaga kwanini hamtaki kuoa dada zenu wanasema wanaogopa kufa mapemaTunapenda na tunaoa , ndio kwanza nasikia kwako leo
Faraja ya nini tena, mtu anatumia hela yakeMnajifarijiπππ
Town ya wapi? Tunaoana kila siku, nyie ni kiherehere chenu kuoa wanawake ambao kimchakato wameandaliwa kwa malengo ya mchaga tu ndio maana mnatoa milio kama Nokiahuku town kila mchaga kaoa kabila lingine nawataniaga kwanini hamtaki kuoa dada zenu wanasema wanaogopa kufa mapema