Hivi kwanini watu humu wanajiita majina ya ajabu?

Mimi hili jina nimeejiita baada ya kuokoka na kuachana na mambo mabaya ya Dunia.

Nashangazwa na baadhi ya members humu kujiita majina ya ajabu hivi kwanini mnafanya hivyo?

Watag members wenye majina ya ajabu tuwajue
Ni kweli. Angalia akina Mohamed, John, Yunus, Yahya, Samuel, na wengine wengi wenye majina hata ya mashetani kwa kisingizio cha kubatizwa au kusilimishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…