Hivi, kweli kabisa Vyombo vya Ulinzi na Usalama waliamini Polepole yuko Tanzania?

Ndugu zangu duniani kote hakuna uhuru tunao utaka. Hivi Polepole uliko kaa huko mnajua amekutana na akina nani? Wamepanga nini? Je amekuwaje malaika ghafra tu hivi? 2019 na 2020 aliongoza uharibifu wa uchaguzi.
Kwahiyo unakubali 2019 na 2020 uchaguzi uliharibiwa? Vipi 2024? Na kwanini mnataka wananchi washiriki huu wa 2025?
 
Umeona mbali, Yanga na Simba ni project za dola.
 
Magufuli ndio aliyeingiza huu ushenzi hapa nchini, huyo mama anatembelea humo humo. Polepole alishiriki ushenzi wote wakati wa magufuli, leo yamemrudi anajiliza.
Polepole alikuwa na cheo cha kawaida kabisa ukilinganisha na [emoji355]️[emoji817] kwahiyo kama umemuhusisha Polepole na ushenzi wa awamu ya JPM lazima pia umuhusishe [emoji355]️[emoji817] maana alikuwa Boss wake.
 
We ni mjinga na mpumbavu, kipindi cha Magu ndo kipindi ambacho Lissu alishambuliwa kwa kumkosoa na kumuita dikteta uchwara. Ndo kipindi ambacho kanisa lilitoa waraka mara kadhaa kupinga mwenendo wa serikali na vyombo vyake na hata katika mpambano dhidi ya UVIKO kanisa katoliki lilipingana na Magu hadharani. Wewe ndo mdini usiye na aibu.
 
Me na swali mshana sorry sijui process za pale airport hivi inawezekana ukiingia nchini na mamlaka isijue yaani pale airport hakuna sehemu Una sign kuonyesha umeingia nchini ambayo tiss Wana access nayo
Hapana.
Hakuna pa kusaini, ila pasipoti yako inaangaliwa na kugongwa mhuri. Kama wanakutaka, utafuatiliwa kuanzia hapo.
Kumbuka, ndege na wao wana 'manifest', majina ya wasafiri wake, ambayo pia inaweza kuwafahamisha kama wanamtafuta mtu.
 
 
Kwa kweli unasikitisha sana kwa kuwa na mawazo ya namna hii.
Itazame vizuri hiyo CCM unayoing'ang'ania akilini mwako, uone kama kweli bado kuna chama cha maana hapo!

Sasa wewe unataka Tanzania igande tu, tukisubiri hilo GENGE la Samia litakapo ondoka, lini?
Na hiyo CCM ni CCM gani hasa iliyokaa kichwani mwako na kukunyima uwezo wa kupanua fikra zako kuona nje ya chama ambacho hakipo tena?

Hao unaowaita "management nzima ya CHADEMA"; hivi kweli mtu na akili zilizo sawa bado utawaona wale watu kuwa na sifa na heshima ya kuitwa viongozi? Mnachukulia maswala ya nchi kama utani wa Simba na Yanga?

Watu wa aina yako, watu wenye akili nzuri tu, lakini mnajitoa ufahamu maksudi kabisa; kwa sababu ya mazoea tu ya chama mlicho kizoea, na kupatia maslahi, huku maslahi ya nchi yenu mnayasahau kabisa.

Sasa tueleze wewe, kama siyo CHADEMA, ni nani,...abaki Samia na GENGE lake ili angalau muendelee kutambua tu kuwa CCM iko madarakani?
 
Kun

Hivyo hata hao waliovamia kwa Dada yake pole pole yawezekana wao wakawa hata hawana wanachoelewa Ila ni kutiii maelekezo wanayopewa na Kama anavyosema Jay z kuwa most of People joins in military because had no better option in life
Kuna ''NUREMBERG TRIALS'' ya viongozi wa NAZI Germany. Moja ya ''precedent' ya kesi hizo ni kuwawajibisha wahusika kama wahusika bila kujali nani amewatuma!

Kwa Tanzania, Polisi C.Bageni wa Oyeterbay anasubiri kunyongwa. Abdallah Zombe yupo huru

JokaKuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…