Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kabendera kaandika kitabu baada ya kusikiliza stori za mitaani na hao aliowasikia kwa asilimia kubwa wamempa habari za kizushi.Umejuaje mambo ya uchu, upwiru ulikuwepo au ni imagination zako kutokana maneno ya Kabendera?
Bibi wa miaka 60, mwenye watoto kibao, wajukuu mke wanne wa mzee Hafidh, Rais anaweza ku-order binti yoyote wa miaka 25, mwenye shape, atake kubaka kweli.
Mazingira gani Rais anaweza kumbaka Makamu wa Rais?Story zozote za vijiweni nyie mtaamini.
Mnajaribu sana kumshushia heshima yake JPM hata mwendawazimu wa kuokota makopo, serial rapist asingewaza hayo, let alone kufanya huo uchafu, hamtafanikiwa kwenye huu mkakati wenu, tayari mmefeli.
Swali ninalojiuliza, unamchafua marehemu JPM asiyeweza kujitetea kwa sasa ili upate nini?.