Cheap labor ambayo ina knowledge na skills na ni wengi huwezi kuipata marekani. Yani mfano now hapa kuna cheap graduates kwa sababu ni wengi mtaani hata 150k kwa mwezi wanachukua. Sasa hicho ndichi kilichopo china. Na ndio maana akakwambia china ukitaka watu wanaojua kitu fulani, watajaa uwanja wa mpira wakati US hata meza inaweza isijae.Kina Steve, walienda kule sababu ya Cheap labour tu.
Basi sawa, ngoja nibakie msomaji.Cheap labor ambayo ina knowledge na skills na ni wengi huwezi kuipata marekani. Yani mfano now hapa kuna cheap graduates kwa sababu ni wengi mtaani hata 150k kwa mwezi wanachukua. Sasa hicho ndichi kilichopo china. Na ndio maana akakwambia china ukitaka watu wanaojua kitu fulani, watajaa uwanja wa mpira wakati US hata meza inaweza isijae.
Unawafahamu native Americans?Unaonekana UNA UGUMU WA KUELEWA.
Wacha nikupe mfano mmoja ndio utaelewa.
Hizo ndege za Boeing unazosifia muasisi ni Wilhelm Boeing ni Mjerumani ila alikimbilia USA.
Tunarudi pale pale USA wavumbuzi wake sio wa asili ya Amerika.
Bro note the point nayokwambia.
Ndio maana hata ukienda huko research centres zao hao USA utakutana na WAJERUMANI,WAISRAEL/WAYAHUDI,WAKOREA,WAJAPAN,WACHINA,WAHINDI.
Embu usiwe unakaza kichwa we jamaa.
Sawa USA ndio inatambulika imeasisi,je ASILI YA HAO WAASISI NI NATIVE AMERICANS!?
JIBU NI NO.
Sisi wapiga domo wenye kuyajua ni wao mkuu.Basi sawa, ngoja nibakie msomaji.
Haya mambo ya Technology siyajui sana
At least mna facts za kujadili.Sisi wapiga domo wenye kuyajua ni wao mkuu.
Hahaha mkuu sisi ni wazee wa kuahdithia ukijua story na hadithi nyingi mfano hapo nimesema 5nm breakthrough huku wanasema dah jamaa ana akili nyingi yule 😃😃 kisa tu najua story za technology.At least mna facts za kujadili.
Kiwango cha skilled cheap labour kwenye mataifa yaliyoendelea lazima kiwe kidogo kulinganisha na katika mataifa yanayoendelea. Hata China wakiendelea kama US na uhuru wa raia ukiongezeka hao cheap labourers wa China wataanza kudai malipo makubwa zaidi.Cheap labor ambayo ina knowledge na skills na ni wengi huwezi kuipata marekani. Yani mfano now hapa kuna cheap graduates kwa sababu ni wengi mtaani hata 150k kwa mwezi wanachukua. Sasa hicho ndichi kilichopo china. Na ndio maana akakwambia china ukitaka watu wanaojua kitu fulani, watajaa uwanja wa mpira wakati US hata meza inaweza isijae.
Harmony operating system unaijua wewe ?Hao wana vita ya kibiashara hata wanasayansi wa Marekani ni kutoka mataifa ya nje😛😛Oya Mimi sitaki kubishana leo!
Nataka nijue hizi Mambo zinatoka wapi maana karibia kila mwenye smartphone anazo
Facebook, Google, android OS ,X zamani Twitter, linkendin na mziki wa hip hop🤣🤣
Nini hiki umeandikaKina Steve, walienda kule sababu ya Cheap labour tu.
Maana ya native ni mwenye asili ya pale.Unawafahamu native Americans?
Hembu toa mfano mmoja wa Native American maarafu ili ueleweke unataka kusema nini hasa.
Waziri mkuu wa sasa wa qqUingereza ni Muingereza au Mhindi?
Ushawishi sasa hivi hutizamwa kidiplomasia na kibiashara.Mchina hana ushawishi wowote duniani, ukimlinganisha na Mmarekani.
Ukiushika utamaduni, umeishika dunia. Ndio ushawishi wenyewe unaanzia hapo.
Afrika tunatumia vitu vya wachina kwa sababu ni cheap, ila ndoto zetu wote ni kutumia vitu vya magharibi.
USA forever
Nilichotaka kukiweka sawa ni kuwa hiyo China ina vipawa.Kumbe wewe kwako taifa la USA ni wale Wahindi Wekundu(Red Indians) tu ambao ndio wakazi wa asili wa Marekani!
Naona NABISHANA NA KIJANA MDOGO AMBAE YEYE NDIYE ANAYEFUATILIA STORI ZA VIJIWENI.Hizo stori za migahawa, kafanye research kwanza alafu ndo uanze kuongea sio eti "hata hizo research center wavumbuzi sio native Americans" unaongea kama mtu aliyekatwa kichwa mzee.
Alafu kitu kingine utambue, Marekani haina white population peke yake,hata hao whites unaowaona ukitrace asili yao ni Europe sasa nakushangaa unaposema muita mtu mchina just kwakuwa ana asili ya Asia, mtu kazaliwa USA, kasoma USA, na maisha yake yote kaishi USA alafu anafanya kazi research center USA wakiinvent kitu unasema Ooh sio native American hii ni nonsense ya kwanza alafu mzee aliyekwambia wachina, waisraeli, wajerumani ndo wamejazana research center za USA kuliko whites ni nani??? Fanya research kwanza usikurupuke mkuu
Unaingiza Boeing, sijazungumzia Boeing maana sina ufaham nazo katafute hizo nlizokuwekea mifano apo acha kujibu kwa mihemko
Halafu kuna wajinga watakwambia China wanasubiri mpaka wazungu waendeleze kitu ndio hao wafanye.Harmony operating system unaijua wewe ?Hao wana vita ya kibiashara hata waansayansi wa Marekani ni kutoka mataifa ya nje😛😛
Kuna wechat na mitandao kibao , waulize wanaofanya biashara kwenda china wanatumia mitandao gani sio takataka zako zinazohackiwa mpaka watu wanasambaza porno huko fecebook .
Mrekani anawatumia china na mataifa mengine kweny kupata teknolojia hata mashindano , wewe kajamba nane kutoka kyela unapiga kelele
China anapomzidi US ni kwenye wizi, rushwa na kutengeneza bidhaa feki.Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari
3) Magari ni hatari
4) Micro chips usiseme
5) Computing hawana mpinzani
6) Kwa kilimo ni hatari
7) Kwenye madawa wamo
8) Ujenzi ni hatari
9) Technology ya simu wanatisha
Na mengine mengi tu. Sasa Mimi najiuliza Mchina ana kitu gani cha kuwazidi hawa mabwana.
Upande wa Uchumi kuna gap kubwa mno. USA ana 28.7 trillion USD GDP. Mchina ana 18.5 trillion USD GDP. Gap hiyo ni kubwa.
Anguko LA USA sio Leo wala kesho. Labda miaka Mia mbili Ijayo
Marekani mzee wa kukwapua watu wenye uwezo anawapa uraia kweny nchi yake .Halafu kuna wajinga watakwambia China wanasubiri mpaka wazungu waendeleze kitu ndio hao wafanye.
Hajui kama China wana research centres zao.
Ndicho nilichokua namwambia jamaa.Marekani mzee wa kukwapua watu wenye uwezo anawapa uraia kweny nchi yake .
Marekani ni mjanja yule usione atatetea kule Israel ndio wanamuweka mjini , kajaza watu weusi kibao kweny entertainment kama basketball , miziki ,movie yote kukuza uchumi wakeNdicho nilichokua namwambia jamaa.
Ndio maana nikatumia kauli hii,"tukitaka kuzungumzia invention kiuhalisia lazima tutarudi EUROPE na ASIA far east regions".
Na hao ndio waliojazana USA.
Kuna jitu linabisha.
China inaanza kuunda vilipuzi kabla hata Ottoman empire haijulikani inazaliwa lini.
Yani nyuma ya hiyo 18th century China ashaunda vilipuzi na silaha.
Hakuna pesa ya nchi yoyote duniani inayopewa sapoti na kitu chochote cha thamani kwa sasa.