MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Ilishawahi kutokea hata kwa mojawapo ya walinzi wa Mkapa alienda kuwa mlinzi wa spika sita. Watoto wadogo hamjui haya mambo. Ulinzi kazi ya kawaida sana haina uspesho wowoteKama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu sipika?View attachment 2135563
Watoto wadogo hawaelewi haya mambo P. Wanafikiri mlinzi wa raisi ana ishu yoyote ya maana tofauti na wengine.Kuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi anapangiwa kwa kiongozi mwingine yeyote.
Kuna watu walitamani hao walinzi waendelee kumlinda kwa kulinda kaburi lake pale Chato.
Kiukweli humu jf tuna members..
P
[emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]...ccm wanapeana Asante Kama anamaradhi yoooote hayo ataweza majukumu kweli muuza mitumbaUnamuona Hapo Kachoka Hata Kutembea
Yaani Huyo Sukari, Pressure, Magoti, Vichomi, Kikohozi Vyote Vyake
Kwani Alhaji humjui mkuu?Mkuu kwanza haijulikani unamzunguzia nani kwenye hiyo picha.
Lakini swali la msingi: ina maana wote walio karibu na huyo naibu spika ni walinzi wake?
What if wote wameenda msibani kama wengine?
NB: Walinzi vipenzi wangekuwa alipo muda huu.
Ajira za serikali zinasema "pamoja na kazi utakayopangiwa na muajiri wako", hautaki acha kazi.Huyu jamaa alikua miongoni mwa walinzi vipenzi wa Magufuli, leo namuona anamlinda naibu spika (zungu)
Hii ni demotion au ni nini?
Kwa nini asingepelekwa hata kumlinda Mwinyi au Makamu wa Rais?
View attachment 2135647
Katika wote waliochangia naona wewe ndio umefikiria nje ya box. Kuna uwezekano wote hao kwenye hiyo picha tunaowajadili walienda kwenye maziko kama waombolezaji wengine na sio kua boss na walinzi/mlinzi wakeMkuu kwanza haijulikani unamzunguzia nani kwenye hiyo picha.
Lakini swali la msingi: ina maana wote walio karibu na huyo naibu spika ni walinzi wake?
What if wote wameenda msibani kama wengine?
NB: Walinzi vipenzi wangekuwa alipo muda huu.
Wamempa kwasababu ya uzoefu maana amekuwa mwenyekiti wa muda mrefu.Huyu Mzee sijui hata nani alimpendekeza kuwa NS??
Mkuu unataka kuwa kama vijana wageni wa mambo ya kisiasa?Ujui presidential appointed security officer
Ah kaka mkubwa mambo ya traditions tena!Kuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote na mlinzi wa kiongozi ni mlinzi tuu kama mlinzi mwingine yeyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi wake anapangiwa kazi ya ulinzi kwa kiongozi mwingine yeyote.
Kuna watu walitamani hao walinzi waendelee kumlinda kwa kulinda kaburi lake pale Chato.
Na sio mlinzi tuu anapangiwa, hata wasaidizi wake wote wanapangiwa kwa wengine.
Tena tushukuru sana modern civilization, tunge stick kwenye zile traditional zetu za asili kabisa, hata ... ingebidi na yeye ... so that life goes on.
Ila pia kiukweli humu jf tuna members.. na members, members wengine wa ajabu...
P
Na ugwadu! HuhuhuhuUnamuona Hapo Kachoka Hata Kutembea
Yaani Huyo Sukari, Pressure, Magoti, Vichomi, Kikohozi Vyote Vyake
Yupi huyo mkuuHuyo big kulia nimemuona akimpokea GSM begi airport ni Nani naye?
Mweleweshe kamanda.. wajinga hawaishiWe ni Mbwa tu hujui maana ya mlinzi wa raisi
Mdogo mdogo basi kha...!So ulitaka akae bila kazi..?
Acha ushamba wa kiboya ndugu unakuwa unaakili Kama za ng'ombe bhana! Tumia kichwa yako vizuri
Vipi mkilinganisha na Elimu zao ni nani yuko juu ?? Au leo Elimu imekuwa si mali kitu ??!!Sio fair kwa kweliView attachment 2135596
Tena bora kabaki hapa Tanzania kapangiwa hapo kwa naibu spika atakuwa anapata japo chochote ila kwa level aliyofikia ni vyema wangempa hata u RSO kama baba yake Pascal Mayalla hata ukuu wa kanda..So ulitaka akae bila kazi..?
Acha ushamba wa kiboya ndugu unakuwa unaakili Kama za ng'ombe bhana! Tumia kichwa yako vizuri
Hapo wanataka awe wa sgang🤔Mataga mna shida Sana.
Elimu ya tulia ipo juu kijanaHivi ni haki Leo hii mzee Zungu kuwa msaidizi wa Tulia Akson? Msaidizi kabsaaa? Lakini ndiyo hiyo; ni msaidizi tayari; mzee born town, mission town ndani ya jijini la Dar, Leo msaidizi wa mporipori kutoka huko Tukuyu ndanindani! Ukiweza kutegua hicho kitendawili utakuwa umepata jibu la swali ulilouliza.
Pia ana bahati sana muda huu angetakiwa awe analinda kaburi la Hayati, baada ya kutolewa mgongo alipauka kiasi achana na kuku wa pale ikulu mixer mapochomapocho ya sambusa na ulojo..Kuna watu humu hawajui kuwa kazi ya ulinzi wa viongozi ni kazi kama kazi nyingine yoyote na mlinzi wa kiongozi ni mlinzi tuu kama mlinzi mwingine yeyote, kiongozi mmoja akifa, mlinzi wake anapangiwa kazi ya ulinzi kwa kiongozi mwingine yeyote.