Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
some people preffer to settle from the beggining, just like your father did, rhat is why they marry in first place.After you have enjoyed yourself enough noe you want to settle with one lady then go for an innocent and fresh woman.
Utakufa hata kwa ajali, au ukimwi, hapo vipi?Ndoa zenyew za kutishiana kuuana.. si bora niwe kitombise.
Sio kama tunapenda mkuu! maisha magumu huyo mke atakula nini? ikiwa mimi mwenyewe naishi kwa kupiga pasi ndefuNdoa ni jambo la laZima Kwa kila mwanaume
Itakuwaje kidume huna ndoa, familia( kaya) yako
usijifiche kwenye kichaka cha malengo mkuu, miaka 50 kwenye ndoa unafata kitu gani?umeshindwa ulivokuwa kijana uzee wako utaweza kukaa na mke.Mkuu nitaoa nikifika 50 nikiona nina kila kitu ninachotamani niwe nacho ,kinyume na hapo sitaoa kabisa , unajua kila mtu ana malengo yake na mifumo yake ya maisha?
HahahahhhahaUngejenga hoja Yako bila kuweka ushoga ungekuwa mwanaume kweli ila kuweka ushoga ndani yake ni ishara kuwa unahisia za kishoga na anus Yako hupwita pwita Kila uonapo kijana ambae hajaoa
True, na hili la kila mtu kuwa na malengo yake kwenye maisha, lingetosha tuishie hapa lakin nikuulize kitu, how do you know that will live to 50's???.Mkuu nitaoa nikifika 50 nikiona nina kila kitu ninachotamani niwe nacho ,kinyume na hapo sitaoa kabisa , unajua kila mtu ana malengo yake na mifumo yake ya maisha?
πππmkuu kwani unapoweka malengo yoyote ,unajuaje utaamka kesho yake?True, na hili la kila mtu kuwa na malengo yake kwenye maisha, lingetosha tuishie hapa lakin nikuulize kitu, how do you know that will live to 50's???.
What guarrantees you that??
Aiseee,π€£VIVULANA VYA JF
π€£π€£π€£ kwa sasa bado sina uwezo wakulisha mke hata cha mchana tu.usijifiche kwenye kichaka cha malengo mkuu, miaka 50 kwenye ndoa unafata kitu gani?umeshindwa ulivokuwa kijana uzee wako utaweza kukaa na mke.
mkuu we oa msijifiche kwenye kichaka cha malengo,
Shida zinamkumbuka kila mtu katika kila life style anayo amua kuichagua kuishi kwayo, sasa hii point yako haina mashiko na by the way nani kakuambia kuoa ni kutafuta shida??Aliewadanganya kua uanaume ni kupata shida aliwakosea sana.
Utafanya kila kitu ili tu upate shida shida ili ujiite mwanaume.
hapana sikuwa na lengo la kuongelea ushoga,but ushoga ni matokeo ya kutooa.Mkuu nitaoa nikifika 50 nikiona nina kila kitu ninachotamani niwe nacho ,kinyume na hapo sitaoa kabisa , unajua kila mtu ana malengo yake na mifumo yake ya maisha?
Sure, this makes sense...Nimekuelewa kwenye hilo. Maana hata malengo tunayoweka hatuna guarantee ya kuya achieveπππmkuu kwani unapoweka malengo yoyote ,unajuaje utaamka kesho yake?
Tena ndo ulijarii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliewadanganya kua uanaume ni kupata shida aliwakosea sana.
Utafanya kila kitu ili tu upate shida shida ili ujiite mwanaume.
Kwa hiyo watoto uliozaa unawalisha pumba?π€£π€£π€£ kwa sasa bado sina uwezo wakulisha mke hata cha mchana tu.
anatakiwa afahamu changamoto ndiyo maisha yenyewe.Sure, this makes sense...Nimekuelewa kwenye hilo. Maana hata malengo tunayoweka hatuna guarantee ya kuya achieve
Na huo ndio uhalisia, life is really a process of solving series of problemsanatakiwa afahamu changamoto ndiyo maisha yenyewe.
Hahaha nimesema sina pesa ya kulisha mke kwa sasa, ya watoto ninayo.Kwa hiyo watoto uliozaa unawalisha pumba?
Unataka uoe na umri gani mtani?Mkuu kila mtu aishi anavyoona ni vyema , binafsi kwa malengo yangu bado sijafikia umri wa kuoa.
Tatizo wanatutisha na ndoa zao mazee....ππVijana mlio na ndoa sijui mnajiona vip, simtulie na ndoa zenu π€£π€£π€£π€£