Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Najua kwa sababu nilishaoa ,tena nikiwa kijana mdogo tu ,ndio kwanza nipo chuo mwaka wa pili🤔
Ila shindikana ulishindikana kitambo🙆‍♀️🙆‍♀️🤣
Hapo ulijiharakisha kujibebesha majukumu yaliyo nje ya uwezo wako kiakili, kijamii, na kiuchumi. Lazima unyookeee🤣
 
Ila shindikana ulishindikana kitambo🙆‍♀️🙆‍♀️🤣
Hapo ulijiharakisha kujibebesha majukumu yaliyo nje ya uwezo wako kiakili, kijamii, na kiuchumi. Lazima unyookeee🤣
Tena bora kipindi hicho sasa hivi naona ndoa ipo nnje ya uwezo wangu kiakili kabisa, yani now sina akili kabisa ya kuvumilia matatzo ya ndoa🤣🤣🤣🤣
 
Tena bora kipindi hicho sasa hivi naona ndoa ipo nnje ya uwezo wangu kiakili kabisa, yani now sina akili kabisa ya kuvumilia matatzo ya ndoa🤣🤣🤣🤣
Na mwanaume akishajitambua kuwa hana au amepungukiwa na akili, basi a asioe wala kuzaa.
 
Kwa mwandiko huu hujatimiza vigezo vya kuwa mwanaume.
 
Hii imefanyiwa utafiti na nani????

Kama ni kichwa chako 🏃 🏃 🙌🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…