Hivi mnajua tafsiri ya Mwanaume au mnajitamba kujiita wanaume tu

Hii comment imenichoma kumoyo,kuna mjinga alingia kwenye maisha wakat huo ndo npo kwenye peak
 
Vijana wakishaokotana huku nanjilili wakanunua na kagodoro na sufuria mbili vijiko viwili na vikombe wanaanza dharau😁😁😁
Puuza tu pita kama vile huoni sema na moyo wako baba mchungaji 🤣
 
Hujawaelewa vijana,sio kwamba wanaogopa majukumu

Kitu ambacho vijana hawapendi ni pale anapooa na baadae mke anaanza kuleta mambo ya ajabu ajabu na kutaka kumpanda kijana wa watu kichwan
hiyo ni kawaida na ndiyo changamoto ya ndoa.

ndoa inakufunza mengi mpaka busara unaipata kwenye ndoa.
 
Nilikua mmoja wao ila baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani , nikiona mtu kaoa naenda kuchekea chooni🤣🤣🤣
sIkuona hii kumbe ulikuwa mwanachama ukapigwa za uso🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…