Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

Wakikua wataacha
 
utakuta wanaongea mada zinaisha,wanabaki kupumuliana kwenye cm,mmoja anaulza vip mbon kimya,jibu sasa aaah natafakari utundu wako kitandaniπŸ˜‚πŸ˜‚wanacheka afu mada inaanzia apo tena,,,(HII NILIONA KWENYE MUVI YA NIGERIA)
🀣🀣🀣
 
Umekula,
Umelala
Umelala
Unafanyanini
Umevaa nn
Umekula nn
Upo nyumbani
Upo nanani
Naomba pesa ya wig
Sina pesa
in post wasp

Vipi mahesabu
Wateja wap kweli
Mizgo umefika
Mama yako ametoka nataka nije

N.k
 
Ukituma msg moja asubuhi, unakausha mpaka jioni. Tena hata hiyo jioni unaweza ukamkaushia pia 😎
 
Maswali kama haya, hujiuliza yeyote kwa chochote asichokijua. Na kutokujua kitu fulani, haimaanishi wanaokijua ni wazembe...!! Ni sawa na wale wanaosisitiza kutumia kondomu lakini wanakuja kufa kwa kansa iliyosababishwa na uvutaji sigara. Wewe kama huwezi, wenzio wanaweza na majukumu yao hayasimami..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…