Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka translation huru , tumia google translator, huyu yupo bias na anachagua anachopenda kukisikiaUshauri wangu kwako kama rafiki yangu ndani ya jf; penda kuuliza na kujifunza acha ushabiki kwani wewe bado sana katika dini, hata hiyo dini yako ya Ukristo bado mchanga sana.
Angalia hii dictionary ya maneno ya Qur'an kwani sio kila dictionary ya kiarabu inafaa kwa ajili ya Qur'an Kwani Qur'an yenyewe ndio msingi wa kamusi zote za Kiarabu.
View attachment 2455909
Alie translate kwa kiswahili kayaweka , kaongeza maneno kwenye koran. Ata huyo was kingereza kaongeza maneno kwenye KoranHapo nimeyaondoa hayo maneno usiyoyataka yaliyomo kwenye mabano na ndio nimekupa hiyo tafsiri isiyokuwa na maneno ya kwenye mabano, wewe vipi??!!, hata kiingereza kinakushinda??, nitakuwekea tafsiri yenye maneno kwenye mabano.
Weka translation huru , tumia google translator, huyu yupo bias na anachagua anachopenda kukisikia
Alie translate kwa kiswahili kayaweka , kaongeza maneno kwenye koran. Ata huyo was kingereza kaongeza maneno kwenye Koran
Cha msingi tumeona wazi Uislamu sio Faith Bali ni ku surrenderHata hilo neno "Surrender" ungalikuwa unajua vyema English usingeendelea na ubishi wako, ile tafsiri yako uliyoiweka ina kupiga wewe mwenyewe lakini kwakuwa hujui kiingereza ukaona eti inakuunga mkono🤣🤣
Cha msingi tumeona wazi Uislamu sio Faith Bali ni ku surrender
Una surrender kama prisoner na huna faith kwa ulichojiunga nacho Yani Islam
TumeshamalizaHuna hoja za kielimu kilichobakia kwako ni FANATISM tu.
ماسلم
Tumeshamaliza
Islam = surrender
Tuendelee na hoja nyingine ya Allah na ma huris
Hapo umenena mkuuMans knowledge is limited. What we don't is beyond our knowledge.
Kuna baadhi ya mambo huwa tunapoteza muda na nguvu kuyahoji.
Tambua hakuna mwanadamu anaefahamu uwezo au utashi wa Mungu Kwamba kwanini alifanya kile na kwanini hakufanya hiki.
Vitabu vya dini hasa Biblia vimejaribu kumuelezea Mungu lakini ile ni "summary" tu ya machache kuhusu.Vitabu vya dini sio mwisho wa kila kitu kumuhusu Mungu.
Mungu ni zaidi ya tunavyodhani na tulivyofundishwa. Km kikiandikwa kitabu kumuelezea Mungu basi h kitabu hicho kitakuwa hakina mwisho na hakuna mwanadamu atakaeweza kukimaliza kukisoma.