Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

Hiyo kauli SIIFUTI KAMWE isipokuwa nimeiongezea nyama kwamba Uisilamu huo aliouanzisha mtume (saw) ni ule uliojengwa katika nguzo 5.

Kifupi sijakosea isipokuwa maelezo yangu juu ya huo uisilamu aliouanzisha mtume (saw) hayakujitosheleza na wewe ndiye uliyefanya nikatambua hilo, hivyo nawiwa shukrani kwako. Asante.
Huna uungwana kwenye kujadiliana

Kauli Yako imesema ameanzisha sio ameendeleza na kuboresha

Kauli Yako
Mokaze said "Uisilamu ulianzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw)"
 
Bado hujakutana na mtu anaitwa Kiranga ndo utazidi kuchanganyikiwa [emoji23][emoji23]
Mkuu,

Mimi nilishasema mara nyingi kwamba, dhana ya Mungu kutumia vitabu kufikisha ujumbe wake ni moja ya ushahidi wa kutokuwepo Mungu huyo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hatumii vitabu kufikisha ujumbe wake.

Vitabu vinaleta matatizo ya lugha na tafsiri, vinaharibika kirahisi, vinabadilishwa kizazi hata kizazi, na kwa kuangalia historia, hususan vitabu vya dini vilipoanzia, ilikuwa tabu sana kuandika.

Mungu huyu kwa nini hakutumia teknolojia kama ya DNA, kufikisha ujumbe wake moja kwa moja, bila utata, bila kutegemea tafsiri ya lugha, kwa kila mtu, kwa uwazi usio na utata wowote ule?

Ukichunguza kwa kina, utaona huyu Mungu anayesemwa yupo hayupo kiuhalisia.

Ni wa hadithi za kutungwa na watu tu.
 
Huna uungwana kwenye kujadiliana

Kauli Yako imesema ameanzisha sio ameendeleza na kuboresha

Kauli Yako
Mokaze said "Uisilamu ulianzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw)"

Unataka niwe muungwana kwa kiwango kipi Mchungaji Mokiti ??!.

Ni kweli Mtume mtukufu kaanzisha Uisilamu (dini ya kiisilamu) na Uisilamu huo umejengwa katika nguzo 5, Nguzo ya kwanza ni shahada, inayoshuhudi Allah mmoja na Muhammad (saw) kuwa ni mtume, pia nguzo nyingine.ni kwenda kuhiji makka, hizo nguzo mbili mitume wengine wote hawakutekeleza achilia mbali hizo tatu zilizobaki, hivyo utaona hao mitume wengine walikuwa waisilamu kwa maana ya unyenyekevu kwani maana nyingine ya Islam kwa kiarabu ni kunyenyekea hivyo Mtume mtukufu (saw) naye alikuwa mnyenyekevu kama hao manabii wengine isitoshe Dini aliyokuja nayo pia Allah kaipa jina hilo hilo la "Islamu" na dini hiyo ndiyo imejengwa katika hizo nguzo 5, sasa niliposema Mtume (saw) alianzisha Uisilamu maana yangu ilikuwa ni huo Uisilamu wenye nguzo 5 na sio vinginevyo.

Hivyo sijakosea isipokuwa maelezo yangu hayakujitosheleza.
 
Koran inasema Islam sio Imani Bali ni ku surrender

Allah aliwambia nyie hamna Iman ila mme surrender
 
Koran inasema Islam sio Imani Bali ni ku surrender

Allah alikwambia nyie hamna Iman ila mme surrender

Surrender ndio submission ndugu 🤣, yaani kujitupa, kunyenyekea nk mbele ya Allah, Imani ndio matokeo ya Submission kwa Allah, hivyo mtu anaweza kusilimu (to be muslim) lakini Imani (faith) wakati huo ikawa bado kuingia moyoni.

Tofautisha kati ya Kusilimu na kuwa na imani, imani inakuja baada ya kutekekeza matendo ya kiisilamu.
 
Ndio nakubali Allah kasema Uislamu ni kujisalimisha , na sio faith ,

Uislam ni ku surrender sio kuwa na imani

Inawezekana ukawa muislamu na huna Imani ya Uislamu
 
Surrender ndio submission ndugu 🤣, yaani kujitupa, kunyenyekea nk mbele ya Allah, Imani ndio matokeo ya Submission kwa Allah, hivyo mtu anaweza kusilimu (to be muslim) lakini Imani (faith) wakati huo ikawa bado kuingia moyoni.

Tofautisha kati ya Kusilimu na kuwa na imani, imani inakuja baada ya kutekekeza matendo ya kiisilamu.
Hiyo maana yake Uislamu watu wanaingia bila kuamini ,

Imani ndio inamfanya mtu kumfuata Mungu ila Kwa Uislamu Imani Haina mashiko
 
Faith au Imani katika dini ndiyo inamfanya mtu awe mfuasi wa dini hiyo

Ku surrender ni kutumia nguvu kumuingiza mtu kwenye dini ambayo hana Imani nayo na mnamwambia baadae Imani itakuja je isipo kuja?
 
Basi nawaachieni msaidizi, naye ni Roho Mtakatifu...huyo anakufikishia ujumbe, anakufundisha na kukuonya kila siku ila sometimes unakuwa hujui kama ni yeye... tunaishia kusema kauli kama hizi "Machale yakanicheza...." .. Sio machale ni Roho

Kwahiyo hata haya maswali unayouliza usikute anakujibu kila siku ila husikii..

(Alivyonijibu Mimi: Mwisho wa siku matendo yako na sio dini yako itakayoamua uende motoni au la...)
 
Wala Mungu mwenyewe hajawahi kutumia kitabu/vitabu kutueleza Yale aliyoyataka,

Jua kwamba, ukiishi "Nature" utakuwa unaishi yote ambayo Mungu alitaka na anataka

Ukitaka kujua hilo, Kama ww Ni wa zaman kidogo au Kama umewahi kujifunza kuhusu Mababu za kabila lako ambao Wala hawakuzijua hizo dini za vitabu, June sehemu umewahi kusikia kwamba watoto hawakuwaheshimu wazazi/wakubwa zao?

Kuna sehemu waliambiwa "kula mke wa mtu Ni neema? Kuna sehemu waliambiwa Wizi Ni neema?

Jibu Ni Nature, ndivyo ilivyopaswa kuwa, hata kusingekuwa hamna kitabu hata kimoja, bado Ushoga ungeendelea kuwa laana
 
Faith au Imani katika dini ndiyo inamfanya mtu awe mfuasi wa dini hiyo

Ku surrender ni kutumia nguvu kumuingiza mtu kwenye dini ambayo hana Imani nayo na mnamwambia baadae Imani itakuja je isipo kuja?

Hivi mbwa anaponyenyekea mbele ya Bwana wake anakuwa Ka surrender ??-- hiyo ni submission to be precise. Wewe unadhani katika imani neno surrender lina apply kama katika vita??, Katika imani una surrender nafsi yako ili upate imani ya moyo na unapopata imani ndipo unakuwa karibu na Mungu, unamfikia Mungu spiritually na unaanza kuwasilina naye (perceive spiritually) nk, hiyo ndio maana ya ku surrender nafsi yako mbele ya Mungu.
 
Hiyo maana yake Uislamu watu wanaingia bila kuamini ,

Imani ndio inamfanya mtu kumfuata Mungu ila Kwa Uislamu Imani Haina mashiko

Kuna kusilimu yaani kuingia katika dini ya kiisilamu (dini yenye nguzo tano) na baada ya kuingia mtu anatarajiwa apate mafundisho ya dini ili imani iingie ndani ya moyo wake, mtu anaposilimu (kuwa muisilamu) jambo la kwanza LA MSINGI katika imani anatakiwa atoe shahada;- "Nashuhudia ya kwamba hakuna Mungu isipokuwa Allah mmoja asiyekuwa na mshirika, nashuhudia kwamba Muhammad ni mtumishi na mtume wake"--- hiyo ndio shahada mtu anatakiwa atamke mara aingiapo katika dini ya kiisilamu, hapo utaona mtu anakuwa na imani ya mambo mawili yaani, Allah ni mmoja bila mshirika na Muhammad ni mtumishi na mtume wake, sasa kuna mambo mengi zaidi ya hayo mawili katika Dini ya Uisilamu ambayo inampasa aliyesilimu ajifunze ili imani yake ijengeke zaidi kwenye mambo mengine, mfano Swala, funga, hijja ndoa, matendo mema nk, mambo hayo ndiyo yanayojenga imani moyoni, ndio maana inasemwa kusilimu (kutoashahada) tu hakutoshi ni hadi pale mtu atakapojibidisha katika mafunzo ya mambo mengine ndipo imani itaingia moyoni.

Got me ??!
 
Usiandike ma insha
Uislam hakuna Imani Yani mtu aamini ila Kuna kujisalimisha na kujisalimisha kimetokana na Muhammad alivyokuwa anawaambia watu jisalimishe au ufe kwa upanga

Option zilikuwa
Jisalimishe Yani Uislamu
Au ufe kwa upanga
 
Faith ni nini?
 
Wewe ni jahili tu kwani hutaki kukubali kweli, unashupalia kuuchafua Uisilamu lakini unasahau boriti lililomo jichoni mwenu!!?---( 1) "Nenda kauze hiyo kanzu yako na ununue upanga", (2) "unadhani nilikuja kuleta amani duniani laa sikuja
bali nimekuja kuleta upanga". Vipi unashupalia Dini ya Islamu je hayo maneno ya Yesu huyaoni??!
 
Back
Top Bottom