Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo kwenye dini ya ku surrender na hakuna faith ndani yakeGo and read an English dictionary.
Upo kwenye dini ya ku surrender na hakuna faith ndani yake
Surrender - to give (oneself) up into the power of another especially as a prisoner
Faith - strong belief in God or in the doctrines of a religion
Mkuu,
Mimi nilishasema mara nyingi kwamba, dhana ya Mungu kutumia vitabu kufikisha ujumbe wake ni moja ya ushahidi wa kutokuwepo Mungu huyo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hatumii vitabu kufikisha ujumbe wake.
Vitabu vinaleta matatizo ya lugha na tafsiri, vinaharibika kirahisi, vinabadilishwa kizazi hata kizazi, na kwa kuangalia historia, hususan vitabu vya dini vilipoanzia, ilikuwa tabu sana kuandika.
Mungu huyu kwa nini hakutumia teknolojia kama ya DNA, kufikisha ujumbe wake moja kwa moja, bila utata, bila kutegemea tafsiri ya lugha, kwa kila mtu, kwa uwazi usio na utata wowote ule?
Ukichunguza kwa kina, utaona huyu Mungu anayesemwa yupo hayupo kiuhalisia.
Ni wa hadithi za kutungwa na watu tu.
Wewe andika insha ila mwisho wa sikuMimi naona sio dini tu hujui bali hata lugha kwako ni shida, ona hapo; to give (oneself) up into the power of another, hiyo ndio maana ya submission niliyokuwa naisema. sasa kwa ujinga wako umebold maneno; especially as a prisoner ili kuonyesha ku surrender ni sawa kuwa kama mfungwa, juu ya yote mtu akiwa kama mfungwa mbele ya Mungu kuna kosa gani??, Yesu mwenyewe alifungwa gerezani, akatundikwa msalabani, akapigwa mijeledi na akauawa juu msalaba kwa ajili ya Mungu, je naye katika hali hiyo hakuwa prisoner ??, tena prisoner aliyeteswa kwa ajili ya Mungu au wewe huoni na kutambua jambo hilo??!.
Wewe chuki zako dhidi ya Uisilamu imekupofua kiasi Kwamba huoni kasoro ndani ya dini yako!!, acha chuki na fanatism za dini bali jifunze na ukubali kufundishwa usichojua kwani uelewa wako wa elimu za dini kwa ujumla ni mdogo sana huna tofauti na Waisilamu wenye siasa kali.
Wewe andika insha ila mwisho wa siku
Uislamu maana yake ni ku surrender kama prisoner na hakuna mambo ya faith ndani
Allah kasema msiseme mna faith ila semeni mme surrender
Ondoa mabano kwenye translation mabano ni nyongeza na haipo kwenye verseWewe unao ushabiki wa kipumbavu hasaaa!!-- hebu ona hiyo tafsiri ya hiyo aya usiyoijua ilivyo ambamo neno: ( اسلمنا) Aslamnaa, yaani tumesilimu/tumekuwa waisilamu lilivyotafsiriwa kwa maana ya: " submission "":-
View attachment 2455855
Kinyume chake soma Biblia inavyosema juu ya imani zenu haba:-
Yesu akajibu; Nawambia kweli kama mnayo imani na msiwe na shaka si tu mnawezafanya hiki kilichofanywa kwenye mtini lakini pia mnaweza kuuambia mlima huu ondoka na jitupe baharini na ukaondoka na kujitupa. (Mathayo 21:21).
Je, kuna mkristo yeyote duniani amewahi kuondosha japo kichuguu tupilia mbali mlima ??!!.---- hayupo, hii maana yake ni kwamba hakuna mkristo mwenye Imani.
Ondoa mabano kwenye translation mabano ni nyongeza na haipo kwenye verse
Ondoa mabano alafu weka verse hapa
Ulishakubali Uislamu si faith ila ni ku surrender , insha za Nini tenaWewe unao ushabiki wa kipumbavu hasaaa!!-- hebu ona hiyo tafsiri ya hiyo aya usiyoijua ilivyo ambamo neno: ( اسلمنا) Aslamnaa, yaani tumesilimu/tumekuwa waisilamu lilivyotafsiriwa kwa maana ya: " submission "":-
View attachment 2455855
Kinyume chake soma Biblia inavyosema juu ya imani zenu haba:-
Yesu akajibu; Nawambia kweli kama mnayo imani na msiwe na shaka si tu mnawezafanya hiki kilichofanywa kwenye mtini lakini pia mnaweza kuuambia mlima huu ondoka na jitupe baharini na ukaondoka na kujitupa. (Mathayo 21:21).
Je, kuna mkristo yeyote duniani amewahi kuondosha japo kichuguu tupilia mbali mlima ??!!.---- hayupo, hii maana yake ni kwamba hakuna mkristo mwenye Imani.
Ulishakubali Uislamu si faith ila ni ku surrender , insha za Nini tena
Ni wapi ni copy paste , nimekwambia huyo sahih international ameweka mabano , yaondoe mabano maana ni yake na hayapo kwenye verseEti Ondooooaaa mabano!!!, wewe ni mjinga hasa, hujui kitu gani unabishia isitoshe hujui kiarabu; Neno lenye ubishi kwenye hiyo aya ndio neno hilo; اسلمنا tamka: Aslamnaa lenye maana ya kiswahili: "tumesilimu" yaani tumekuwa Waislamu, wewe kwaushabiki wako wa kijinga hilo neno katika tafsiri "fulani" za kiingereza za hiyo aya wameandika "we have surrendered", mimi nikakuambia hilo neno maana yake hapo ni "Submission" hivyo itakuwa "we have submitted", synonym ya submission pia ni "to submit", ingawa surrender laweza kutumika lakini hasa neno sahihi ni submit.
Na hii ndio ubora wa kujua lugha zote, Kiarabu, kiswahili na kiingereza, vinginevyo wewe kila siku utakuwa copy paste and copy cat.
Wakristo ni faith na sio ku surrenderKasome Biblia, Mathayo 21:21, ikutoe TONGOTONGO za imani yenu haba.
baada ya hapo ndipo usome Qur'an 49:14.
Ni wapi ni copy paste , nimekwambia huyo sahih international ameweka mabano , yaondoe mabano maana ni yake na hayapo kwenye verse
Neno yet na instead ameongeza halipo
Allah kasema sema nyie hamna faith nyie mme surrender (waislamu)
Ulishakubali Uislamu si faith ila ni ku surrender , insha za Nini tena
اسلمنا ili neno maana yake we surrender ndio linajulikana hivyo ayo Yako ya kupambapamba achana nayoUpo kishabiki sana kuliko kujifunza, ushabiki ukizidi unakuwa ni pazia la kufunika faculties za mtu kwani kwenye haki ushabiki huingia kati na kupotosha haki.
Neno yet na instead , lakini na bado hayapo kwenye verse kwenye kiaarabuSasa angalia tafsiri ya hiyo aya kwa kiswahili ipo:- (hivi bila kuweka maneno yaliyomo kwenye mabano).
Mabedui walisema; tumeamini, sema; hamjaamini lakini semeni tumesilimu kwakuwa imani bado haijaingia mioyoni mwenu----. (49:14) Qur'an .
Mabedui (الاعراب) ni Waarabu wanaoishi jangwani (deep in deserts).
اسلمنا ili neno maana yake we surrender ndio linajulikana hivyo ayo Yako ya kupambapamba achana nayo
Neno yet na instead , lakini na bado hayapo kwenye verse kwenye kiaarabu