Huna uungwana kwenye kujadilianaHiyo kauli SIIFUTI KAMWE isipokuwa nimeiongezea nyama kwamba Uisilamu huo aliouanzisha mtume (saw) ni ule uliojengwa katika nguzo 5.
Kifupi sijakosea isipokuwa maelezo yangu juu ya huo uisilamu aliouanzisha mtume (saw) hayakujitosheleza na wewe ndiye uliyefanya nikatambua hilo, hivyo nawiwa shukrani kwako. Asante.
Kauli Yako imesema ameanzisha sio ameendeleza na kuboresha
Kauli Yako
Mokaze said "Uisilamu ulianzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw)"