Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

Brother apo kwenye walokole na wapentekost umetupiga!!!
Dini kama multiple choice ukirong ndo kwaher
 
Weka translation huru , tumia google translator, huyu yupo bias na anachagua anachopenda kukisikia
 
Hapo nimeyaondoa hayo maneno usiyoyataka yaliyomo kwenye mabano na ndio nimekupa hiyo tafsiri isiyokuwa na maneno ya kwenye mabano, wewe vipi??!!, hata kiingereza kinakushinda??, nitakuwekea tafsiri yenye maneno kwenye mabano.
Alie translate kwa kiswahili kayaweka , kaongeza maneno kwenye koran. Ata huyo was kingereza kaongeza maneno kwenye Koran
 
Weka translation huru , tumia google translator, huyu yupo bias na anachagua anachopenda kukisikia

Hata hilo neno "Surrender" ungalikuwa unajua vyema English usingeendelea na ubishi wako, ile tafsiri yako uliyoiweka ina kupiga wewe mwenyewe lakini kwakuwa hujui kiingereza ukaona eti inakuunga mkono🤣🤣
 
Nadhani kila binadamu ana kitu ndani yake kinachompa huzuni anapofanya jambo baya. Inawezekana yule ndie MUNGU.
 
Alie translate kwa kiswahili kayaweka , kaongeza maneno kwenye koran. Ata huyo was kingereza kaongeza maneno kwenye Koran

Hiyo ndio shida yako kutokujua.

Qur'an ni yale maneno yaliyoandikwa kwa lugha ya kiarabu, hakuna Qur'an isiyokuwa ya lugha ya kiarabu, kilichopo katika lugha zingine ni Tafsiri ya Qur'an, Tafsiri inategemea na mtu aliyetafsiri uelewa wake na ndio maana neno Aslamnaa mwingine katafsiri "We have surrendered" mwingine katafsiri "We have submitted"ingawa kimsingi maneno hayo yanayo maana sawa na neno sahihi zaidi ilipaswa liwe "We have submitted". Kuanzia leo lazima ujue kuna Qur'an na TAFSIRI YA QUR'AN.
 
Hata hilo neno "Surrender" ungalikuwa unajua vyema English usingeendelea na ubishi wako, ile tafsiri yako uliyoiweka ina kupiga wewe mwenyewe lakini kwakuwa hujui kiingereza ukaona eti inakuunga mkono🤣🤣
Cha msingi tumeona wazi Uislamu sio Faith Bali ni ku surrender

Una surrender kama prisoner na huna faith kwa ulichojiunga nacho Yani Islam
 
Cha msingi tumeona wazi Uislamu sio Faith Bali ni ku surrender

Una surrender kama prisoner na huna faith kwa ulichojiunga nacho Yani Islam

Huna hoja za kielimu kilichobakia kwako ni FANATISM tu.

ماسلم
 
Hapo umenena mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…