Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

Mkuu, sioni kama baada ya kifo kuna existence maana muhubiri 9:5,6,10 inasema wafu hawajui lolote..sasa watamuonaje ilhali hawajui kitu!
Nimeelewa ni Roho ndio itakayomwona na sio mwili mfu(Maiti).
 
mleta mada kauliza kiswahili unajibu kingereza we vp mkuu
 
Ogopa hiyo kauli,Tajiri wa Titanic alisema meli yake haitazamishwa hata na Mungu, safari ya kwanza ikazama.

Fikiria shahawa zinakua mtu, mbegu inaota, unavuta hewa free.
Kwahio Mungu akaamua kuua watu ili kumuonesha tajiri ?!!!!!

Moja waliojenga meli as a market ploy walisema hii meli ni unsinkable..., (that's what you do to get more customers).... hiki kitu watu wakakiamini na wafanyakazi wa meli wakakiamini..., ndio maana wakati inazama baada ya mfanyakazi mmoja kuambiwa meli inazama ndio akajibu God Himself could not sink this Ship...., kwahio premise yako ipo based on a wrong statement even if were correct logically does not make sense...
 
Kwa hyo kuanguka kwa hzo empires ndo uthibitisho? Mbna mpaka leo empire bado znaanguka?,,,,
 
Kwa hyo kuanguka kwa hzo empires ndo uthibitisho? Mbna mpaka leo empire bado znaanguka?,,,,
Mkuu kutabiliwa kwamba zitatokea na kuanguka ni jambo la kuonyesha kuwa biblia ipo accurate...
 
Umemaliza mjadala
 
Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
Mwanadamu akishashiba anakuwa na kiburi cha uzima, kwa ufupi sana nikujuze kuwa Mungu si kiumbe ulichokichora wewe kichwani, MUNGU ni mfumo uliogawanyika sehemu tatu.. unapotaka kumzungumzia Mungu uwe na utulivu wa akili na mwili la sivyo utakurupuka kama hivi ulivyokurupuka.
 
Well said
 
Bora uaminii alafu ufike huko umkose kuliko kutokuamini ufike huko umkute...Aise moto wako utakuwa ni wa makaa ya mawe na petrol[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi.wengine hizi dini, tumezishape kwa akili zetu, ili kupunguza sintofahamu kwa ndugu zetu. Mfano naamini setani hayupo, Mungu kwangu ni upendo au nature, naona wazungu na waarabu kama wametupotosha, church Kila j2 sikosi ila sadaka nikitoa kubwa sana basi tsh 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…