Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

naamini hata mdogo wake Nchimbi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Nyasa John Nchimbi atakuwa kwenye wakati mgumu sana Bungeni
 
Hakuna hicho kitu..wnamdemonize abduli ili kumis-direct attention ya wajinga km wewe kufikiri fikiri km hiv ulivyosema kwa jambo ambalo haliwezekani.
Lissu amewahi kusema abdul amewahi kumtembelea kwa nia ya kumhonga ili kumnyazisha. Una wasiwasi na kauli ya Lissu?

Kama ni kweli, kwanini atake kuwahonga watu kama Lissu?
 
Na Msako kwake badounaendelea sana tu kwa kila mbinu..
Sahihi,

Shida ni kwamba huyu mtu ni Insecure kinoma, kiasi kwamba akikuhisi tu umekwisha.

Nawasikitikia wote waliojihusisha nae maana kwao muda wote ni tahadhari, wakijikanyaga kidogo tu basi.

Mfano halisi ni Wakubwa wote wa vyombo vya Usalama, They make fear-based decisions though compromising their integrity & reputation.
 
Sahihi,

Shida ni kwamba huyu mtu ni Insecure kinoma, kiasi kwamba akikuhisi tu umekwisha.

Nawasikitikia wote waliojihusisha nae maana kwao muda wote ni tahadhari, wakijikanyaga kidogo tu basi.
Sifa Kuu ya Mwanamke kutawala katikati ya Wimbil Kali lenye kuhitaji Mabadiliko ya Mfumo wa Nchi..Japo watu wanachukulia poa..
Kitendo Cha Utekaji na Mauaji ya watu kinyama kutamalaki ndani ya Taifa lenye Rais na huyo Rais asitie neno lolote,nikiashiria Cha wazi kwamba Nchi inatawaliwa na Rais Gaidi.
 
Kuhendekeza Huruma nako ni ujinga
 
Sema nini!

CCM wasipomuwahi Raisi wao, Hakuna rangi wataacha kuiona mpaka wale wanaodhani wana-control (Genge).
Mkuu muda utaongea hata hao akina Makonda, Mwigulu kuna siku watakuja kuingia kwenye kumi na nane za Samia.. Muda ni mwalimu mzuri hapa nahesabu list Mpango, Tulia Akson, Humphrey Polepole, Emmanuel Nchimbi, Job Ndugai, Kassim Majaliwa.. Kwenye miaka mitano ana wastani wa kula vichwa vikubwa sita, achana na vichwa vidogo ambavyo huvila sana.. Kwa ujumla ana wastani mzuri wa kula vichwa...
 
Na hao ndio maadui wa Taifa nadhani atakuwa ametusaidia kiasi fulani akiwala.
 
Tulia wewe mbwa acha kushobokea nyuzi za wanaume kwani lile sokwe la ccm halikutoshi?
 
Acha na wao wapate maumivu ya moyo,wakati wanalumbua hawakukumbuka kuna watu wananyanyasika na udhalimu.
Ikiwezekana wamuue na huyo mdogo wake mbung e, mke wake ,wawauwe wote😃😃😃
Mkuu yaani mi nashangaa hata wanaopoteza energy ya kumuhurumia Nchimbi as if kwamba alikua ni mwanaharakati, wamfinye tu mi sina msaada nae..
 
Inasikitisha sana kuona mama abduli alipoifikisha nchi.
 
Na hao ndio maadui wa Taifa nadhani atakuwa ametusaidia kiasi fulani
Shetani akiwaua shetani wenzake inatakiwa iwe furaha kwetu, wananchi tushaanza usenge wa kuwahurumia akina Polepole sijui Nchimbi... Kesho Samia akipata matatizo kama haya nae tutaanza tena kumuhurumia na yeye.. Huruma sio malezi
 
Mama Samia simpendi ila the way anavyonifinyia hao wapumbav wenzie wa Ccm mpaka najisikia raha...
 
Sasa wewe hapa umejibu km nani?, shoga wa Samia? Demu wa Djembi au demu wa Wassira?.
 
Lissu amewahi kusema abdul amewahi kumtembelea kwa nia ya kumhonga ili kumnyazisha. Una wasiwasi na kauli ya Lissu?

Kama ni kweli, kwanini atake kuwahonga watu kama Lissu?
Kwa hiyo abduli kutaka kumhonga Lissu ndio amekuwa chief wa tiss, ndio hivyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…