Hivi ndivyo nilijikuta nakuwa mwanachama wa JamiiForums

Bila uthibitisho unaweza kulishwa uharo wowote ule wenye vidudu vingi hatari sana ukaambiwa hii ni protein nzuri sana, safi na salamankwa matumizi ya watu.
Daaah wee jamaa unaweza bishana na mtu kumbe unataka kumuweka kwenye cycle flan ambayo akiingia tuu achomoi.....

Na mpaka sasa bado hakuna wa kuleta hoja na wewe ila kuna vyuma naimani vinajipanga nazani humjui mazinge wewe
 
Kumbe ni upotoshaji
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
na kuna ile nyingine mtu anasema dunia ni tambarare na kaweka evidence za picha kabisa yaani khaaa
Yule jamaa aiseee ni mbishi sasa assume yule jamaa kawapangua watu kibao na mpaka sasa bado kashikilia bendela ya dunia tambarare.

Ukigusa ule uzi kwanza una flashiwa ..kama ulikuja na geography yako ya form one utoboi
 
Niliijua JF miaka ya 2010 huko. Na ilikuwa na wasomi na wataalamu.

Ilikuwa kabla habari za magazeti hazijatoka kesho mimi niliishaifaham habari. Ikawa mwisho wa kununua gazeti.

Jf ni zaidi ya news media.

Ova
 
jf Ina karibu kila kitu cha maisha ya kawaida na darasa ambalo walimu wake hatuonani nao
 
Kumbe ndo wewe.mtu mwenyewe ahahahahha
Kaamua kujitokeza sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na msimamo wake ni uleule
 
Kipindi hicho jf 2007 ilikuwa cream haswa. Mada zilikuwa mada. Hoja zilikuwa hoja. Tulikuwa wachache wenye tija. Almost tulifahamiana. Bondeni pale tulikuwa tukipooza mqchungu kwa jukwaa fulani pendwa. Tulikuwa na moderator wetu amazing aitwaye invisible. Sijui yuko wapi. Enzi hizo mzee mwanakijiji alikiwa baba wa jukwaa. Mzee mzima Field Marshal William.Malechela (rip) na mada zake amazing. Wengine ninaiwakumbuka kwa uchache Maxence, WOS, pakajimy, BAK, Pascal, bujibuji, ngungu, na wengine wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…