HIvi ndivyo viongozi wa Afrika wanavyonunuliwa na mataifa makubwa ikiwemo Rais Tinubu ambaye ni jasusi la CIA

Hakuna point hapo mkuu, mwalimu alikua na kawaida ya kuhalalisha yake kwa hoja za kulazimisha,kudai kwame alitaka kuwa rais wakati muungano wenyewe ulikua kwenye hatua ya mdahalo,ni unafiki,ukizabizabina,haya huo muungano uko wapi Leo miaka 60 baadae?!.. Africa kuwa nchi moja ilikua tishio kwa mabeberu, mwalimu ndiye aliyeogopa kukosa mamlaka ya urais,huenda agenda zake zisingekua
Ukitaka kujua moja ya dream ya Nyerere, cheki hizi nchi za Sadc,zote zimekombolewa na mchango mkubwa kutoka Tz yaani Nyerere. Vision yake ilikiwa nchi kuwa na moja na kuunganisha Wafrica.Hata SADC na East Africa Community ni juhudi kubwa za Nyerere. Sasa Kwame kwenye zone yake ya Magharibi alifanya nini? Maana nchi za Magharibi hata utulivu wao ni wa mashaka.
 
And that will make me feel bad or some shit like that?

Huyo malaya wa Manzese sio mtu?

Comparison unafanya wewe,they got nothing to with me mkuu!

My head is totally away from you!

Nina bidhaa au information you need......lets do business!

Mbona wakati unauza shamba lako tusikuone "malaya"?

Kwanini nikiuza information zangu nilizozitafuta kwa jasho langu kuhusu nchi fulani au viongozi fulani nionekane "malaya"?

Like what the fvck is wrong with you?

Yaani wewe viongozi wa kisiasa walikua aminisha kuuza information zao ni "umalaya"?

Y'all are a bunch of fools!
Yer cheap man, like a 20 dollar hoe, every redneck bangs your ass, for what?
You dont even have a vision!
 
Kwa nyie watoto wa juzi ambao hamjui kusoma historia, nasikiaNyerere kuna wakati alienda kuonanan na Malkia , na Malkia akampa mkono akiwa amevaa gloves. Nyerere akampa kifimbo ndio asalimiane na Malkia, Malkia akaelewa haraka na kuvua gloves.
Vile vile kuna wakati Nyerere alifanya stop over London akitokea Marekani.
Waziri Mkuu wakati huo Margaret Thatcher akamtumia ujumbe kuwa akifika, aende Ofisini kwake waonane.
Alipofika Heathrow London, Mwalimu hakutoka Uwanja wa ndege, alipoulizwa kuwa anasubiriwa Ikulu ya Waziri Mkuu, Nyerere akamwambia aliyetumwa kuwa toka Airport kwenda Ikulu ni umbali ule ule toka Ikulu kwenda Airport, maana yake kwa nini yeye Margaret Tatcher kwa nini asije Airport tuonane. Airport za wenzetu zina vyumba Executive vya mikutano.
Hiyo ndiyo jeuri ya Mwalimi

Hapo mama Thatcher alilewa.
Nyerere was nobody's stooge!
Na kawaida nchi kama USA na UK wanatoa Siri baada ya miaka mingi kupitia.Nyerere hakuwa kibaraka.
 
Bahati mbaya vijana wa sasa hawakuwahi kuishi miaka ya Nyerere.

Watanzania wakati huo tunasahau kuwa tulilipa kwa damu zetu katika kusimamia principles za Mwalimu, Principles ambazo zilikuwa safi sana na za uhakika na za ki utu.

Majirani zetu, hasa Kenya walitucheka sana kwa misimamo thabiti ya Mwalimu.

1965, Mwalimu alithubutu kuvunja uhusiano na Ujerumani Magharibi akiitetea Zanzibar ambayo ilikuwa ina ushirikiano na Ujerumani Mashariki nchi ya Kikomunisti.
Ujerumani Magharibi ilitoa ultimatum, Tanzania lazima ishirikiane na Magharibi tu, usipofanya hivyo Ujerumani Magharibi wanajiondoa.
Mwalimu akawaambia nendeni zenu, hamtuchagulii marafiki, Ujerumani Magharibi wakaondoka na kufunga ubalozi.
Tukumbuke kuwa Ujerumani Magharibi ilisitisha misaada yote hasa ya ujenzi wa nyumba za Hational Housing(NHC) nchi nzima.

Mwalimu vile vile alivunja uhusiano na Uingereza 1968, katika kuonyesha msimamo thabiti wa kumuondoa Ian Smith Southern Rhodesia(Zimbabwe) . Smith aliitwa haini kwa vile alijitangazia uhuru bila kuwashirikisha waafrikaUDI Unilalteral Declaration of Independence).
Na hapo ndiyo kina Mugabe wakaibuliwa, wapigania uhuru waliokuwa na makao Tanzania.
We paid the price.

Tarehe 25 October 1971, kwa harakati kubwa za Tanzania, hasa Balozi wetu Salim Ahmed Salim huko UN, China iliweza kuingia Umoja wa Mataifa, jambo lililokuwa likipingwa sana na Marekani.

Hiyo ndiyo misimamo ya kianaume ambayo Tanzania , chini ya Mwalumu Nyerere tulikuwa nayo.

Sasa hivi viongozi wa Afrika wananunulika kama njugu au vikaragosi.
SAD!
 
View: https://youtu.be/uQ-a7d0leig?si=KwxCAlbxJxtdeEwv

Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA.
Kanunuliwa, yuko mfukoni.

Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.

Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.

Alikuwa agent wao kabla ya kuwa rais so huenda hadi now ni agent.
Pia aliwahi kutuhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa na hao hao watu labda huenda ili kumrecruit na kumwondolea mashtaka basi wakamrecruit.
 
Ukitaka kujua moja ya dream ya Nyerere, cheki hizi nchi za Sadc,zote zimekombolewa na mchango mkubwa kutoka Tz yaani Nyerere. Vision yake ilikiwa nchi kuwa na moja na kuunganisha Wafrica.Hata SADC na East Africa Community ni juhudi kubwa za Nyerere. Sasa Kwame kwenye zone yake ya Magharibi alifanya nini? Maana nchi za Magharibi hata utulivu wao ni wa mashaka.
Hizi ni porojo tu za kujitahidi kumstiri
 
Bahati mbaya vijana wa sasa hawakuwahi kuishi miaka ya Nyerere.

Watanzania wakati huo tunasahau kuwa tulilipa kwa damu zetu katika kusimamia principles za Mwalimu, Principles ambazo zilikuwa safi sana na za uhakika na za ki utu.

Majirani zetu, hasa Kenya walitucheka sana kwa misimamo thabiti ya Mwalimu.

1965, Mwalimu alithubutu kuvunja uhusiano na Ujerumani Magharibi akiitetea Zanzibar ambayo ilikuwa ina ushirikiano na Ujerumani Mashariki nchi ya Kikomunisti.
Ujerumani Magharibi ilitoa ultimatum, Tanzania lazima ishirikiane na Magharibi tu, usipofanya hivyo Ujerumani Magharibi wanajiondoa.
Mwalimu akawaambia nendeni zenu, hamtuchagulii marafiki, Ujerumani Magharibi wakaondoka na kufunga ubalozi.
Tukumbuke kuwa Ujerumani Magharibi ilisitisha misaada yote hasa ya ujenzi wa nyumba za Hational Housing(NHC) nchi nzima.

Mwalimu vile vile alivunja uhusiano na Uingereza 1968, katika kuonyesha msimamo thabiti wa kumuondoa Ian Smith Southern Rhodesia(Zimbabwe) . Smith aliitwa haini kwa vile alijitangazia uhuru bila kuwashirikisha waafrikaUDI Unilalteral Declaration of Independence).
Na hapo ndiyo kina Mugabe wakaibuliwa, wapigania uhuru waliokuwa na makao Tanzania.
We paid the price.

Tarehe 25 October 1971, kwa harakati kubwa za Tanzania, hasa Balozi wetu Salim Ahmed Salim huko UN, China iliweza kuingia Umoja wa Mataifa, jambo lililokuwa likipingwa sana na Marekani.

Hiyo ndiyo misimamo ya kianaume ambayo Tanzania , chini ya Mwalumu Nyerere tulikuwa nayo.

Sasa hivi viongozi wa Afrika wananunulika kama njugu au vikaragosi.
SAD!
Yule katibu muhtasi wake muingereza alitaka yaliyomo kwenye diary zake yasiandikwe mpaka miaka 30 baada ya kifo chake,omba ufike 2035,ushuhudie madudu
 
Hizi ni porojo tu za kujitahidi kumstiri
Haitaji hata kitumia nguvu kwani kuna kambi kibao walizo zitumia South Africa Moro ,Msumbiji,Angola nk na ndio kiongozi aliye suluhisha migogoro mingi kuliko kiongozi yoyote wa Africa. Kwame zone yake tu ya Magharibi tokea enzi na enzi ina machafuko mpaka sasa hivi kila siku mapinduzi na ECOWAS haipo stable. Huu ushahidi wa kisayansi kama unao wa Kwame weka hapa.
 
Kwame alipata uhuru lini na alipinduliwa lini,alipinduliwa na nani?..huku Tanganyika ni nani aliyemuokoa Nyerere asipinduliwe? Kwa nini beberu alifadhili mapinduzi ya kwame?
 
Kwani kupinduliwa au kutopinduliwa ina maana kiongozi mbaya? au ww ulitaka apinduliwe.......? Kwa hiyo nikosema na nikimtaja aliye msaidia asipinduliwe then what........?Unahamisha magoli.......

Halafu Nyerere kipindi chake alikuwa anabase sana Africa ya kati na Kusini. Sasa nikisema Kwame alipata uhuru lini then what. Nyerere mara ya kwanza anagusa US (New York) hakupewa hata hadhi ya Urais alienda kulala vichakani,halafu useme mabeberu walikuwa wanampenda?

Nimekwambia weka CV ya Kwame hata kwa Zone yake ya West,kwa aliyo yafanya ktk kuiunganisha Africa iwe kitu kimoja then tocompare na Nyerere.

Kama hujui hii nchi chini ya Nyerere viongozi wengi wa Africa walikuja kujificha huku,mpaka Che Guavara alikuja huku kujificha.
 
Kwani kupinduliwa au kutopinduliwa ina maana kiongozi mbaya? au ww ulitaka apinduliwe.......? Kwa hiyo nikosema na nikimtaja aliye msaidia asipinduliwe then what........?Unahamisha magoli.......

Halafu Nyerere kipindi chake alikuwa anabase sana Africa ya kati na Kusini. Sasa nikisema Kwame alipata uhuru lini then what. Nyerere mara ya kwanza anagusa US (New York) hakupewa hata hadhi ya Urais alienda kulala vichakani,halafu useme mabeberu walikuwa wanampenda?

Nimekwambia weka CV ya Kwame hata kwa Zone yake ya West,kwa aliyo yafanya ktk kuiunganisha Africa iwe kitu kimoja then tocompare na Nyerere.
Marais wa Africa wengi vibaraka
 
Eti Nyerere alilala vichakani USA, alikua darling wa west,soma kitabu Cha molony, Nyerere;early years uone alivyokua akicheza kwenye mabangaloo akiandaliwa kupewa nchi,tafuta picha yake na rais mzinifu kenned wakiwa white house,aliandaliwa na mabeberu tangu tabora school,alitaka kuwa Padre wakamkataza,maana walijua ana kazi maalum,kwame akiwa madarakani nchi nyingi za west Africa hazikua huru,na Nyerere hakuunda regional block yoyote,na Kama ni harakati za Mandela zinakuzuzua basi jua hata uingereza walikua wakivujisha Siri za makaburu kwa wapigania uhuru,waingereza waliomuandaa Nyerere ndiyo waliomuokoa na mapinduzi
 
Marais wa Africa wengi vibaraka
Kizazi cha kwanza cha wanaharakati wa Afrika wengi wao hawakuwa vibaraka,ila hiki kizazi cha sasa ndio wengi ni vibaraka na pili wanatamaa ndio maana Afrika kitu kinacho liangamiza hili bara ni rushwa na ufisadi
 
Eti Nyerere alilala vichakani USA, alikua darling wa west,soma kitabu Cha molony, Nyerere;early years uone alivyokua akicheza kwenye mabangaloo akiandaliwa kupewa nchi,tafuta picha yake na rais mzinifu kenned wakiwa white house,aliandaliwa na mabeberu tangu tabora school,alitaka kuwa Padre wakamkataza,maana walijua ana kazi maalum,kwame akiwa madarakani nchi nyingi za west Africa hazikua huru,na Nyerere hakuunda regional block yoyote
Nani kakwambia ww na story zenu za kutunga. Nyerere alikuwa anachukiwa West, hivi ushajiuliza Why Che Guavara alikuja kujificha huku Tz na si kwinginepo? au why viongozi wote wa kusini mwa Africa wakati wa harakati mambo yakiwa magumu wanakuja kujificha huku Africa.

Maana kama Nyerere angekuwa Kibaraka basi angemchoma Che na baadhi ya viongozi wa vyama vya ukombozi wa kusini mwa jangwa la Africa.
 
Back
Top Bottom