Hivi ni kawaida kuombwa namba na mwanamke? πŸ€”

Usalama wa taifa wakutakie nini kutwa upo majukwaa haya ya MMU

Kama ni kweli umeombwa namba PM ukaja kuuliza jukwaani utakuwa una shida sehemu
Mbona Joanah aliomba ya kwangu na sijaja kusema huku😁
 
Eti TISS wanakufatilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Penseli umeamua kutuchekesha hao watakuwa mawifi bana
Au sio ngoja nione. Mi nimeshangaa tu.

How comes ila ngoja nione.
 
hapo nairobi nashukia wapi
Eeeeh hahahahah ...ila ukweli.
Sijawahi ona wasichana wazuri kama WA huku Nairobi ..ila wakala wao ndo dah kawaida labda wasomali.
Ila wadada ni wazuri jamani....alafu woote wan misambwanda...au ndo wamefanya sajari
 
Eeeeh hahahahah ...ila ukweli.
Sijawahi ona wasichana wazuri kama WA huku Nairobi ..ila wakala wao ndo dah kawaida labda wasomali.
Ila wadada ni wazuri jamani....alafu woote wan misambwanda...au ndo wamefanya sajari
aisee misambwanda yao unaweza kuibaini licha ya kuvaa rubega mbona unanishawishi sana..hapo manyara ,munduli ivi sipati binti wa kienyeji kabisa wa kimasai mwenye msambwanda wa nguvu
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Nimeshtuka tu mbona sio kawaida au ni kuchorana tu!!
Kwani mwanamke sio binadamu? Je Hana hisia kama sisi wanaume? Ukiona hujaelewa mawazo ya watu mpaka sasa jibu kamili unalo mwenyewe mkuu.
 
Ulijuaje kama ni mwanamke
 
Kwani kuombwa number kuna maana gani? Sioni ubaya wowote ule pale mtu anapokuomba number yako, kuwa na mawasiliano na watu tafauti ndio njia moja kuu ya ku expend your networking. Mtu anataka number yako kwa sababu amevutiwa na vision zako au yuko impressed na michango yako hapa, sasa tatizo ni nini?
 
Itoshe kusema huna akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…