Katumia elf 70 Mimi sikuwepo kama siku 3 hivi na kweli sikuacha fedha ya matumizi ila chakula kilikuwepo ndani gesi ipo , umeme upo ila nimekuja kukuta malalamiko sana anasema vitu vidogo vidogo amenunua mpaka ameandika kwenye daftari. Aisee
Mkuu tafadhali tuheshimiane mm Nina familia nailisha Milo mitatu kabisa.Wewe subiri ugali upikwe hapo nyumbani kwenu mchana ule hii topik haikuhusu subiri utakapokua na nyumbani kwako.
Kuwapata wa hivi π πmzee Unaota wewe Mbaba Unaota - in voice of bongoflevaUlijaribu kumuuliza ?
Ninajua wadau ambao wake zao wana kipato kuliko wao na kila mara wakifanya shopping hata kulipia Karo wanawaambia watoto kamwambieni baba yenu alafu mama ana clear behind the scenes...
Mwanaume anaendelea kujiona kichwa ila kumbe shingo ni Mama na anayempeleka popote (kwa busara zake)
Kujipenda wenyewe ..ubinafsiNature yenu ni nini?
Usiwe na Hela Sasa ndo inakuwa haki kusema hivo ila ukiwa na HelaKu provide si nature yetu.
Ila we Mzab bana. LolMchape na fimbo tamu weye huyo
Poa mkuu samahani kwa hilo. I appologize.Ww unasemaje mamako ashawekewa $1million jitambue mkuu. Hili ni tusi maana unataka umaanishe akowekewa anapigwa jipe hekima kidgo
Mmmmh weeehWana roho ya Lilith inawasumbua mkuu!!
Ah sasa kwani sii nayo ni tiba nzuri kwa mwanamke mwenye makasiriko πIla we Mzab bana. Lol
Sa hela ndo itarudi kwani. ππAh sasa kwani sii nayo ni tiba nzuri kwa mwanamke mwenye makasiriko π
Alafu naona mkadondosha bomu mochwari π€£π€£
Tarehe 4 vipi tunatomboa kweli mwananchi
Aisee mbona wengi tu labda nikwambie jaribu kubadilisha circles zako.., Pesa kwa watu wenye pesa zao sio tatizo kwao.... tena waliokulia kwenye Pesa hio sio issue kabisa na kuna wanawake wengi wanawazidi kipato waume zao na wanajua tatizo la inforiority complex (hivyo kwao kuwaachia hizi battle ndogo ndogo ni kuhakikisha wanashinda ili wanaleta Amani) Loosing a battle to Win a War...Kuwapata wa hivi π πmzee Unaota wewe Mbaba Unaota - in voice of bongofleva
Kumbe hapo ni hela kurudishiwa....ah jamani unajua mkikutana kimwili hasira zinapungua alafu bby ukimshika kifua hiyo hela mbona inarudi lakini sio unalazimisha.Sa hela ndo itarudi kwani. ππ
Subiri uone. Tupo kupokea malalamiko tu sisi mana tunalalamikiwa hatari.
Aaaaah ni kweliUkitoa hii kitu hii, kwenye mahusiano wanawake wengi hakuna kingine wanacho offer.
Sasa kama anafanya kazi hela zake atakua anafanyia nini mkuu?Mwanamke ukishamruhusu aprovide mwishonataishia kukuletea mcheps nyumbani kama sio kukutia kidole kabisa
Yeye wacha afanye kazi mshahara wake muachie yeye.Sasa kama anafanya kazi hela zake atakua anafanyia nini mkuu?
Ndio maana wengine hivi viumbe wanawapiga pini tu kufanya kazi wawe tegemezi ijulikane moja.
Aaaiiiii. π€£π€£π€£Mwanamke ukishamruhusu aprovide mwishonataishia kukuletea mcheps nyumbani kama sio kukutia kidole kabisa