Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Katumia elf 70 Mimi sikuwepo kama siku 3 hivi na kweli sikuacha fedha ya matumizi ila chakula kilikuwepo ndani gesi ipo , umeme upo ila nimekuja kukuta malalamiko sana anasema vitu vidogo vidogo amenunua mpaka ameandika kwenye daftari. Aisee

Labda hukuacha hela ya matumizi bila maelezo yoyote kitu kilichomfanya anune
70K kwa mara moja moja sio mbaya kama mmeongea
 
Ulijaribu kumuuliza ?

Ninajua wadau ambao wake zao wana kipato kuliko wao na kila mara wakifanya shopping hata kulipia Karo wanawaambia watoto kamwambieni baba yenu alafu mama ana clear behind the scenes...

Mwanaume anaendelea kujiona kichwa ila kumbe shingo ni Mama na anayempeleka popote (kwa busara zake)
 
Kuwapata wa hivi 😅😁mzee Unaota wewe Mbaba Unaota - in voice of bongofleva
 
Kuwapata wa hivi 😅😁mzee Unaota wewe Mbaba Unaota - in voice of bongofleva
Aisee mbona wengi tu labda nikwambie jaribu kubadilisha circles zako.., Pesa kwa watu wenye pesa zao sio tatizo kwao.... tena waliokulia kwenye Pesa hio sio issue kabisa na kuna wanawake wengi wanawazidi kipato waume zao na wanajua tatizo la inforiority complex (hivyo kwao kuwaachia hizi battle ndogo ndogo ni kuhakikisha wanashinda ili wanaleta Amani) Loosing a battle to Win a War...

Kwa kumaliza naomba nikuache na huu msemo

Husband / Wife Can Never win an Argument with their Partner.., Unless you want to defeat them.., and if that is the case why Live with a Defeated Partner (Someone who is Bitter)
 
Sa hela ndo itarudi kwani. 😂😂

Subiri uone. Tupo kupokea malalamiko tu sisi mana tunalalamikiwa hatari.
Kumbe hapo ni hela kurudishiwa....ah jamani unajua mkikutana kimwili hasira zinapungua alafu bby ukimshika kifua hiyo hela mbona inarudi lakini sio unalazimisha.
Sie mbona dhaifu sana kwenu basi tuu nyie wanawake hamjiongezi
 
Mwanamke ukishamruhusu aprovide mwishonataishia kukuletea mcheps nyumbani kama sio kukutia kidole kabisa
Sasa kama anafanya kazi hela zake atakua anafanyia nini mkuu?

Ndio maana wengine hivi viumbe wanawapiga pini tu kufanya kazi wawe tegemezi ijulikane moja.
 
Sasa kama anafanya kazi hela zake atakua anafanyia nini mkuu?

Ndio maana wengine hivi viumbe wanawapiga pini tu kufanya kazi wawe tegemezi ijulikane moja.
Yeye wacha afanye kazi mshahara wake muachie yeye.
Mie principle yangu moja nakuhudumia ila siku ukinikamata na micheps zangu sitaki fyoko fyoko.
 
Back
Top Bottom