Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

Shida wengine ni waigizaji kwelikweli..Mtu anaficha makucha kwenye courtship period akiingia ndoani sasa ndio anakunjua zake.
Bro trust me hamna mtu ata pretend nadi ya miaka miwili bwana wewe.
U just have to use ur brain. Tatizo wengi wetu tunaenda na hisia (am also guilty of this) japo baada ya kujaja ruka kuwa hapa ni akili kwanza hisia baadae nikaja kupata very caring and understnding wife.

Kidume weka misimamo yako wazi toka begining usipepese macho na mzungumze na muishi hiyo misimamo yenu. Utafanikiwa.
 
Umeongea kirahisi sana Mzab na ingekuwa hivyo ndoa nyingi zisingekuwepo saa hii.

Vipo vya kumfukuza mke ila sio hicho ambapo kikawaida mwanaume ndo anayeoa.
 
Mwanamke masikini ataolewa na Masikini mwenzake..
 
Umeongea kirahisi sana Mzab na ingekuwa hivyo ndoa nyingi zisingekuwepo saa hii.

Vipo vya kumfukuza mke ila sio hicho ambapo kikawaida mwanaume ndo anayeoa.
Wanawake mnakuwaga na tabia ya kumjaribu mwanaume...sasa ukikuta mwanaume anayejitambua ndio mnaanza kulalamika.

Hapo unadhani ukimwambia haya mama hayo makairiko yako sitaki hapa. Umeshindwa nenda kanu e kwenu unadhani ataenda...subuthu!
Mwanaume ni msimamo tuu. Ukiweka msimamo mwanamke atafuata. Hataki she can be replaced in a moments notice.
 
Hahahaaa! Naomba nicheke kwanza rafiki yangu Mzab hivi ndo umepigaje hapo msitari wa mwisho. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daah wachache sana hao naweza kusema 1 kwenye 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…