Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hamna maana ninyi.Malalamiko tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna maana ninyi.Malalamiko tu.
Very well...my intetion is to come and see u not wife u.I am taken already ☺️
Mbona wanawake zetu wana provide vikubwa na wanaona fahari kupata nao nafasi ya kuprovide. Tatizo ni kuwa vijana hawajui jinsi ya kuishi na mwanamke. Mwanamke kila wakati lazima awe na hisia kuwa wewe ndiyo kimbilio lake kiuchumi. Akikwama utakuwa tayari kumkwamua. Unaposikia ishi nao kwa akili, maana yake ni hiyo. Asijue kuwa umechalala. Kila wakati (hata kama huna senti tano) ajue kuwa unazo ila hutaki kuzitoa.Ku provide si nature yetu
Lazima na dharau zina anza hapo hapo, japo kuna wanawake wachache mno wanaweza hayo ana provide na halalamiki.
Which where when what???!!!
Upo wapi sie members wa chaputa tuje kukuona?
Very well...my intetion is to come and see u not wife u.
Maana mwanamke wa namna yako nilijua bado hajaumbwa kumbe yupo sasa ndio nataka nione anafananaje
Nimepiga ki-pacome😜Hahahaaa! Naomba nicheke kwanza rafiki yangu Mzab hivi ndo umepigaje hapo msitari wa mwisho. 😂😂😂
Hahahaaaa. Lol.Nimepiga ki-pacome😜
A high value man shuld always present an image to a woman that at a moments notice u can and will be replaced if u do not abide by my standards which we discussed about before entering marriage.
Any disregard towards those standards tantamounts to lack of respect. Na hilo halivumiliki kwa mwanaume wa ukweli.
Haha haaa nyeto zibaki kwa ajili ya mabahiliAsante sana. Na kila mwanaume alitambue hili. Kama hunanhela ya kulisha mwanamke usioe. Piga nyeto
Ndio hivyo. Wee ukitaka kunia wanawake hawapaswi kukusumbua cheki wataliban pale.Hahahaaaa. Lol.
Me ale kwa jasho, na ke azae kwa uchungu.Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
What a beautiful and hierarchical family. Safi sana, wengi wanapaswa kujifunza hii hekima na usijisahau ukawaacha watoto wako wakike wakatoka kwenye huo mstari aliokukuzia mama.I learnt it from my mom.
Ndio hivyo mwanawane tunapiga nyeto tuu maana hela ya kuoa hatuna.Haha haaa nyeto zibaki kwa ajili ya mabahili
Kama mkeo haimuhusu unasoma unapita kimya kimya wapo ambao imewagusa na wamekiri hapa.Mkuu jizungumzie we mwenyewe, Edit andika "Mke wangu".
Na ndio hao ambao wapo behind most successful men.., wanakuwa ni partners na sio washindani (Vice Versa being True)Daah wachache sana hao naweza kusema 1 kwenye 100
😂😂 Huu ushauri hata usingenipa siwezi kurudisha hela kwani yeye nikimwambia anirudishie zangu alizotumia tangu uchumba mpaka Leo atawezs?Mkuu, don't refund her. Utanishukuru baadae..
Safi sana.... wacha aisome namba eeeh 🤣🤣🤣🤣😂😂 Huu ushauri hata usingenipa siwezi kurudisha hela kwani yeye nikimwambia anirudishie zangu alizotumia tangu uchumba mpaka Leo atawezs?
Safi sana mkuu, and that's manhood..😂😂 Huu ushauri hata usingenipa siwezi kurudisha hela kwani yeye nikimwambia anirudishie zangu alizotumia tangu uchumba mpaka Leo atawezs?
Siwezi ku pretend maisha mimi. Kwangu mimi black ni black na white ni white. Mimi sina black and white..Mbona wanawake zetu wana provide vikubwa na wanaona fahari kupata nao nafasi ya kuprovide. Tatizo ni kuwa vijana hawajui jinsi ya kuishi na mwanamke. Mwanamke kila wakati lazima awe na hisia kuwa wewe ndiyo kimbilio lake kiuchumi. Akikwama utakuwa tayari kumkwamua. Unaposikia ishi nao kwa akili, maana yake ni hiyo. Asijue kuwa umechalala. Kila wakati (hata kama huna senti tano) ajue kuwa unazo ila hutaki kuzitoa.
Kwa upande mwingine, wanawake wanajali sana future, hata kama wewe ni kapuku lakini akaamini kuwa one day yes, atakuheshimu ataprovide na maisha yatasonga. Ila akihisi umestak na mbele mwelekeo wako hauoni, hapo kazi unayo.
Hapo achana na wanawakeSiwezi ku pretend maisha mimi. Kwangu mimi black ni black na white ni white. Mimi sina black and white..