Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,374
Ndio lakini ni wa viti maalum mkuu!!
Una maana gani mkuu?
Yani wadada wote humu jf ni wa vt maalumu?
Dadavua tafadhali mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio lakini ni wa viti maalum mkuu!!
Una maana gani mkuu?
Yani wadada wote humu jf ni wa vt maalumu?
Dadavua tafadhali mkuu
unauliza jibu mkuu kiti maalumu!??
Una maana gani mkuu?
Yani wadada wote humu jf ni wa vt maalumu?
Dadavua tafadhali mkuu
Kumbe mkuu tuko wengi tulioamini umri ni kigezo cha mtu kuwa na busara. Nami kwa kipindi kirefu niliamini hivyo lkn baadae nilibadili kwani niliwaona watu wazima wakifanya mambo ya ajabu ambayo hata macho hayakustaili kuyaona. Nilienda mbele zaidi ktk uchunguzi wangu binafsi na kuona kuwa kumbe umri si kigezo. Mtu aweza kuwa na umri mdogo lkn akawa na busara nyingi na mwenye kutegemewa ktk jamii inayomzunguka. Hivyo basi umri isiwe kigezo cha mtu kuwa mwenye hekima.Kuna wakati nilikuwa sijapata vizuri tafsiri ya mtu mzima na mtu mkubwa,kipindi hicho nikiona mtu mkubwa kimmri nilijua huenda ndiye mtu mzima na akikoleza tena na nywele nyeupe nilkaamini busara zii nae kumbe sikuwa najua vizuri.
Nimekuja kufahamu kuwa binadamu wote waliozaliwa bila mapungufu kibaiolojia ni watu wazima na kwamba suala la ukubwa na udogo ni la kimaumbile tu na kwamba time factor ndiye mpatanishi mkuu kwenye mlinganyo. Kwa maana hiyo nikajiaminisha kuwa busara na hekima mtu aanaweza kuwa nazo angali mtoto na swala la umri likafuata baadaye.
Profesa James Mdee ni baba mzazi wa Halima Mdee ( Mb), Leo Halima ni Mheshimiwa ila babaye mwanazuoni mbobezi siyo mheshimiwa unless otherwise aitwe tu just in case. Kina Mwigulu na watu wa aina yake leo ni waheshimiwa ilihali wanazuoni waliowafundisha kwenye sehemu anuai kielimu hawaja title hizo.
Kwa sababu hiyo basi tukubaliane kwamba hii Mheshimiwa/Mkuu ni tittle tu inayotumika kwa mfumo wa rejesta kwenye maeneo maalum ambayo yakitumika yanasound vyema. Na kwa kuwa tendo la bata kutokuwa na staha nzuri ya kwenda haja haibadilishi kua aina nyingine ya ndege basi hata wenye hulka sizizo na staha na tabia zisizo za kiungwana waendelee kuitwa tu wakuu ila wao ndio wajipime kutokana na tabia zao!
Hahahaha! Mkuu ladies first namanisha ivi mfano mama ndo anaweza akawa anatimiza mahtaji yote ya familia ila Ukuu akapewa baba! Labda nitengue kauli niseme ''Mkuu msaidizi''
Umenifurahisha sana mkuu upo sahihi asilimia mia kwa kuwa mungu ni mkuu na sisi tumeumbwa kwa mfano wake, wengine wanasema sisi ni watoto wake mtoto wa nyoka ni nyoka .yeye mkuu na sisi ni wakuu wadogowadogo. Kwa sisi wenyewe kwa wenyewe ni wakuu.kwa mantiki hiyo sisi wote ni wakuu
Mkuu stroke mambo?
Mkuu Remote sijamuelewa kabisa mkuu huyu Blac kid, yani wadada wakuu ni wa vt maakumu nisaidie kuelewa nimeshapaniki mkuu maana sipendi hivi viti maalumu havina umaalumu wowote .naamimi katika usawa wa mwanamme na mwanamke ktk kila kitu.hv hakuna wanaume vt maalumu dunia nzima. Hv wale 201 bungeni sio vt maalumu? Nauliza tu mkuu
Kumbe mkuu tuko wengi tulioamini umri ni kigezo cha mtu kuwa na busara. Nami kwa kipindi kirefu niliamini hivyo lkn baadae nilibadili kwani niliwaona watu wazima wakifanya mambo ya ajabu ambayo hata macho hayakustaili kuyaona. Nilienda mbele zaidi ktk uchunguzi wangu binafsi na kuona kuwa kumbe umri si kigezo. Mtu aweza kuwa na umri mdogo lkn akawa na busara nyingi na mwenye kutegemewa ktk jamii inayomzunguka. Hivyo basi umri isiwe kigezo cha mtu kuwa mwenye hekima.
Horse Shoe Arch,vizuri umefafanua kwa kina juu ya ukuu wa Jf.
Kwakua hata uchangiaji,busara,hekima na ukongwe wa kujiunga na Jf unaonaje kukawa clasfications za huu ukuu wetu.
Inakuaje mtu amejiunga jf miaka 7 nyuma aitwe mkuu na huyu alojiunga jana au leo nao waitwe wakuu?
Nashangazwa na matumizi ya neno MKUU humu Jf. Yaani kila mtu anamwita mwenzake mkuu hivi huu ni ukuu unatokana na kitu gani.
Wewe unataka utengeneze matabaka???