Hivi ni kwanini Waafrika wanapenda kula sana?

Unakuta njemba asubuhi inakupigia uji sado moja na viazi vitamu sinia zima,mchana inakupigia dona kilo mbili na dagaa au mchicha na maji ndoo ndogo,usiku inashushia na ugali tena kilo mbili na maharagwe..
Hiyo kitu nimeiona usukumani huko
 
😁😁
 
Hee mtu una hela halafu unajitesa hivyo. Kula ni moja ya starehe mkuu

Kula maisha kula maishaaaa
 
Wanaokula visinia ni comedians na influensa wa kuchovya, wachuuzi kariakoo, wamama wa uswahilini na wafanyakazi wazembe tu maofisini.
Sijakuelewa ndugu..... tafadhali naomba uipe nyama kidogo comment yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…