Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

Kodi zipo na hapo hata hazijawekwa zote kwenye list sijaona manispaa Leseni, maana kuna Jiji service levy na Manispaa leseni.

Issue hapa mkuu Zigo lote anaangushiwa Mfanyabiashara mwenye Frame, nitakupa mfano hapo kwenye Takataka Duka linalipa hadi 40,000 kwa mwezi, Hilo Duka unakuta Wiki Nzima hata Dust bin haijai. Muda huo huo mbele yako kuna Machinga anauza Matunda anajaza Pipa la uchafu, Pengine anapata Faida kuliko wewe na halipi hata sh 10.

Habari hio hio kwenye Zimamoto na kwengineko.

Bado Tra hawajakuja hapo na Polisi wanaojipa Vyeo vya Tra, wanatengeneza mazingira yoyote yale Wapige Hela.
 
Tanzania wafanyabiashara 95% ni wezi wanaoshirikiana na TRA kuiba na hawalipo kodi stahiki.
Anayebisha angalie makusanyo ya Taifa kwa kila mwezi wafanyakazi wa umma na private ambao ni asilimia ndogo sana katika Nchi wanalipa Kodi mara 2 kuliko Wafanyabishara wote Nchi nzima.
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~


Hayati. John Magufuli
"mtanikumbuka"
Naomba kuwasilisha.
Magu ni Muasisi wa Magumashi mengi kkoo, nitakupa mfano kama mfanyabiashara wa hilo eneo Mwezi wa 12 2020 ilitolewa taarifa ku Update Mashine Efd kwa muda mchache sana, muda ukaisha maduka kibao haya mashine ambazo zina update mpya (Barcode) then wakapita Kimya kimya kubambikia watu kosa la kuto update machine. Wengine walipigwa fine kubwa kushinda hata makadirio ya mwaka.

Kulikua na Mafine mengi mno na kkoo ilikua nyeupe, Frame ulikua unapata sehemy yoyote ile.

Sasa hivi Biashara zimerudi, na watu waliorudisha Biashara ni hao Wageni toka Congo, Zambia, Malawi, Comoro etc watu ambao wanatuweka mjini wakinyanyaswa na unaona hela inapotea ni jambo la kawaida kuona wafanyabiashara wakipata hasira.

Kodi za kkoo zipo juu sasa hivi na Vilemba vikubwa.
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~


Hayati. John Magufuli
Kwamba hizo kodi hazikuwepo wakati wake? Au ni waliogopa kuongea?
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~


Hayati. John Magufuli
😁😁😁😁😁
 
Unaweza kuthibitisha hichi ulichokiandika kwa data?

Wafanyabiashara wanachangia takriban trilioni 2 kwa mwezi, wao ndo wanalipa wafanyakazi wa Umma, so ni kichekesho hela ya kulipa wafanyakazi wa Umma itoke kwa wafanyabiashara halafu useme wafanyakazi wanalipa kuliko wafanyabiashara
 
Kwani hizi kodi zimeanza baada ya Samia? Si ni huyu huyu samia alisema hataki kodi nyingi na zisizo haki kwa wafanya biashara?
Alisema hivyo akiamini kuwa ataendesha nchi kwa mikopo. Ubaya hata anazokopa jamaa wanalala nazo mbele anaishia kuwaita stupid!

Mtu wa kawaida anakamuliwa kweli kweli kwenye kodi na tozo...na kibaya zaidi nazo zinaishia kupigwa!

Nchi ya ajabu sana hii!
 
Hamna shida na hizo kodi.. maana ni kodi za huduma ..
Shida ni wanalipa shng ngapi .!?
 
Mkuu nakuambiaje Tigo pesa analipa 40,000 kawaida sijui anazalisha takagani ukituma pesa kwenye simu ndio umezalisha taka hii nchi ngumu sana.
 
Hiiv kazi ya hiyo FIRE [emoji91] ni
ipi maana huwa nawaona tu wanazurura kukusanya fedha
 
Ni kweli kabisa ndo maana wanashindana kununua harrier new model za 2022
 
Dah Polenii

Ila hili la frame kuwa wazi nalikumbuka vizuri tu
 
Tuungane na wafanyabiashara kudai KATIBA mpya.

Bring back our WARIOBA 💪💪💪💪
 
Mtu anesema mtamkumbuka kwa kwa Sababu yeye yupo kwa ajili yenu hlf anakwenda kujenga kwao General Ulimwengu amesema kweli
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~


Hayati. John Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…