Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii?
Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1
Nanukuuu
“Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya

Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa

1: TRA.
2: FIRE.
3: JIJI.
4: USAFI.
5: Kodi ya store.
6: Makato 10% kweny commission (watu wa mihamala)
7: Kodi yakupeleka lori kkoo kubeba au kushusha mizigo”
Mwisho wa kunukuu

Hivi kweli mtu awe na store ya kuhfadhi mzigo wake halafu anatakiwa kulipa kodi? Na akitoa huo mzigo kwenda dukani akiupakia atatakiwa kulipa kodi na akifika dukani kwake atatakiwa kulipa kodi ya kushusha mzigo halafu akianza kuuza atatakiwa kulipa kodi tena hivi hii ni kweli au TRA wanasingiziwa?

Hivi kodi zipo kwa mtu mmoja au wafanyabiashara wanachangia kwa pamoja? Hivi kweli kuna mfanya biashara ataweza kudumu bila kutoa rushwa? Kuna mfanyabiashara atadumu bila kufanya magendo? Mbona kodi ni nyingi sana kwa mtu mmoja? Hii ni zaidi ya double taxation!

Hivi hizi kodi kweli zipo zote au TRA na serikali wanasingiziwa?

Kwanini Rais usimamii maneno yako?’hizi kodi zote hasa hiyo ya store na kushusha mzigo sio uporaji na unyang’anyi kabisa? Msaada wako uko wapi? Kwanini unayaacha haya au sio kweli?
Watu walikuwa wanasema Magufuli ndiye alikuwa anauwa biashala ya kkoo, miaka 2 hayupo mambo yako vilevile tena bora wakati wa Magufuli wafanyabiashara hawakufunga maduka yao kama Sasahivi.Kweli kuna kikosi kilikuwa kimeandaliwa kumwandama Magufuli, Sasahivi yanaendelea hawana pa kujificha.
 
Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii?
Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1
Nanukuuu
“Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya

Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa

1: TRA.
2: FIRE.
3: JIJI.
4: USAFI.
5: Kodi ya store.
6: Makato 10% kweny commission (watu wa mihamala)
7: Kodi yakupeleka lori kkoo kubeba au kushusha mizigo”
Mwisho wa kunukuu

Hivi kweli mtu awe na store ya kuhfadhi mzigo wake halafu anatakiwa kulipa kodi? Na akitoa huo mzigo kwenda dukani akiupakia atatakiwa kulipa kodi na akifika dukani kwake atatakiwa kulipa kodi ya kushusha mzigo halafu akianza kuuza atatakiwa kulipa kodi tena hivi hii ni kweli au TRA wanasingiziwa?

Hivi kodi zipo kwa mtu mmoja au wafanyabiashara wanachangia kwa pamoja? Hivi kweli kuna mfanya biashara ataweza kudumu bila kutoa rushwa? Kuna mfanyabiashara atadumu bila kufanya magendo? Mbona kodi ni nyingi sana kwa mtu mmoja? Hii ni zaidi ya double taxation!

Hivi hizi kodi kweli zipo zote au TRA na serikali wanasingiziwa?

Kwanini Rais usimamii maneno yako?’hizi kodi zote hasa hiyo ya store na kushusha mzigo sio uporaji na unyang’anyi kabisa? Msaada wako uko wapi? Kwanini unayaacha haya au sio kweli?
Mmmh hata Mimi nimeshangaa sana!
 
Zipo hivi

1.Makadirio ya Kodi ya Mwaka TRA
2. Service Levy 0.3% ya Z Report, Manispaa
3. 18% VAT returns TRA
4. Leseni ya Manispaa
5. Fire
6. Ulinzi Shirikishi
7. Usafi
8. OSHA (baadhi ya sehemu)
9. Ushuru wa Forodha (bandarini)
10. Import Tax airport (hii haina kiwango maalum)
11. Kodi ya Mabango TRA
 
Mbona hawakufanya waliyoyafanya leo hii?

Akili kumkichwa
Una uhakika gani kuwa haya yamefanywa katika miaka hii miwili ya Raisi SAMIA?Walikuwa hawana pa kusemea.Ukisema unapotea.Si Ndiyo maana wafanyabiashara Walikuwa wanahama nchi!Jiulize Kwa nini Mo alitekwa eneo la usalama?Mo ni fisadi?Mo ni mwizi?
mungu wenu magu alikuwa ana matatizo kichwani.Huwezi kuua watu namna ile kama panya!
 
Hakuna cha kumkumbuka kwa hili hizo tozo zote zilianzia kwenye utawala wake
Acha uongo nyie ndo mnatakiwa mpigwe vita Kwa kutetea serikali ovyo hii ambayo inaongeza Kodi na tozo ovyoovyo huoni vitu vilipanda bei ovyo awamu hii?Sababu mojawapo ni hii
 
Unaharibu uzi bro.Huyo magu ndo alikuwa balaa.Hadi muuza vitumbua alilazimishwa KULIPA 20000
20k kwa muda gani mbona hutumii akili ndogo tu angalia mlolongo wa kodi alafu ulinganishe na 20k kwa mwaka mzima.
 
"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~

Hayati. John Magufuli
Hazikuwepo hizo?? Au hapakuwa na pa kulalamikia?
 
Tanzania imeoza kwa kodi
Kuna shida mfumo wa kodi...kwa kuwa serikali inataka pesa. Kila ubunifu wa kodi unatungwa. Mpaka zinajirudia ki aina.
Tukipunguza matumizi ya serikali angalau makusanyo yatakidhi kwa asilimia fulani.
Kuliko kila siku kubuni kodi kukidhi matumizi mukubwa ya serikali ya mashariki ya mbali..
 
Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii?
Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1
Nanukuuu
“Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya

Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa

1: TRA.
2: FIRE.
3: JIJI.
4: USAFI.
5: Kodi ya store.
6: Makato 10% kweny commission (watu wa mihamala)
7: Kodi yakupeleka lori kkoo kubeba au kushusha mizigo”
Mwisho wa kunukuu

Hivi kweli mtu awe na store ya kuhfadhi mzigo wake halafu anatakiwa kulipa kodi? Na akitoa huo mzigo kwenda dukani akiupakia atatakiwa kulipa kodi na akifika dukani kwake atatakiwa kulipa kodi ya kushusha mzigo halafu akianza kuuza atatakiwa kulipa kodi tena hivi hii ni kweli au TRA wanasingiziwa?

Hivi kodi zipo kwa mtu mmoja au wafanyabiashara wanachangia kwa pamoja? Hivi kweli kuna mfanya biashara ataweza kudumu bila kutoa rushwa? Kuna mfanyabiashara atadumu bila kufanya magendo? Mbona kodi ni nyingi sana kwa mtu mmoja? Hii ni zaidi ya double taxation!

Hivi hizi kodi kweli zipo zote au TRA na serikali wanasingiziwa?

Kwanini Rais usimamii maneno yako?’hizi kodi zote hasa hiyo ya store na kushusha mzigo sio uporaji na unyang’anyi kabisa? Msaada wako uko wapi? Kwanini unayaacha haya au sio kweli?
Zipo zaidi ya hizo na hapo sio swala la mama ,zimekuwepo miaka na mikaka ila Sasa wamepata upenyo wa kusemea Kwa sababu Mama amewapa uhuru..

Nadhani unajua kwamba Sukima gang wanasema Hilo la wafanyabiashara Mwendazake angelimaliza Kwa sekunde na mnajua msako na Biti ambalo lingewakuta hao wanaojiita viongozi wa mgomo..
 
Na wewe ipo siku yako tu

Acha kejeli kwa walotangulia

Tena ww hujui utakufaje mara utaumwa uanze kuoza hpa hpa chini ya jua kabla hujafukiwa

Nb:Ata mm pia nitakufa
kweli, karma haiwezi kukuacha hivi hivi.. Tujifunze kuweka akiba ya maneno, ni kheri kukaa nayo moyoni kuliko kuyaweka hadharani. Dunia inalipa kisasi!
 
Unaweza kuthibitisha hichi ulichokiandika kwa data?

Wafanyabiashara wanachangia takriban trilioni 2 kwa mwezi, wao ndo wanalipa wafanyakazi wa Umma, so ni kichekesho hela ya kulipa wafanyakazi wa Umma itoke kwa wafanyabiashara halafu useme wafanyakazi wanalipa kuliko wafanyabiashara
kwanza hela ya wafanyakazi wenyewe inatoka wapi? Huyo jamaa bhana
 
Wanasema mbele ya PM kwamba kwa sasa mazingira ya kufanya biashara hapo Kariakoo ni tete kuliko wakati mwingine.

Licha ya Rais kusema hataki kodi za dhulma,hivi sasa ndiyo zimepamba moto TRA wanawafuata hadi nyumbani ku-negotiate rushwa.
 
hatare sana mzee mmoja juzi hapa alinambia hapa bongo ukitaka pesa kalime au ufuge..
Na naona wafanyabiashara weng wenye mafanikio wanakwepa kodi..
Hakuna mfanyabiashara mkubwa nchi hii analipa kodi halisi haijawahi kutokea
 
Sio Tanzania tu! Duniani hakuna alie tayari kulipa kodi, ila kinacho jadiliwa hapa ni mfumo wa kodi kandamizi zinazo iua Tanzania

Imefika mahala sasahivi ukiingia kwenye biashara ndio umekwenda kujitafutia madhila usiowahi tarajia maishani mwako

Kodi zingine hazilipiki hata uweje, na zinapunguza wafanyabiashara kwa kuwafilisi na kuongezea mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wachache walio baki badala ya kuongeza wafanyabiashara
 
Back
Top Bottom