Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

Wanaokula haraka wengi wao ni vibonge (sio wote ila wengi). Mimi kama daktari nawashauri muanze kula taratibu, mtafune taratibu. Sawa?
Kuna uhusiano gani kati ya kula haraka na ubonge?
 
Mim bib yangu alikuwa akiniambia kula haraka chakula kitapoa kikose ladha,
Ila kuna watu nawafaham wanakula polepole mpaka chakula kinapoaaa wanakula wanapumzika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imagine mtu anakula halaf anapumzika
Nna ndugu yangu namwambiaga mi siwezi kutoka nae 😀😀nisije onekana km kidume😀anakula taratibu yaani tonge moja anashika simu dakika kumi ndo anakuja kula tena hapo mi nshamaliza zamaaaani nimeshiba mpaka nimesahau ye bado tu
 
Nikajua huu uzi utakuwa hauhusiani na chakula[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuuu Mimi ni mwembamba na Sina kitambi .

Au niongeze kiasi Cha Msosi?.
Basi itakuwa unakula kwa kiasi.
Mimi pia nipo hivyo, nakula haraka sana na niliamua kutojivunga yaani sina aibu hata kama ni first date speed ni ile ile.

Pia nina uwezo wa kuandika haraka..nilivyokuwa primary nilikuwa naenda sambamba na mwalimu ubaoni halafu naandika madaftari mawili na la rafiki yangu, sometimes madaftari matatu. Mwalimu akimaliza na mimi namfatia. Sijui kama bado nina uwezo huo tena maana sifanyi kazi ya kushika kalamu.
 
Madaftari matatu? Mbona kama chai Demi
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Wee Sasa ndio unaonyesha maana halisi ya haraka .

Hapo Kwenye kutokujivunga mkiwa Mtoko, nimepapendaaaa
 
Nilikuaga siwezi kula haraka JKT ikanifunza 😀😀utachagua ule haraka urudi combania kwako kwa raha au ule taratibu urudi kwa kichura
🤣 apo ulikamatika kwahyo baada ya kutoka JKT ndio ikawa ndio utaratibu wako kula haraka?

Mim nakula haraka nikiwa safarini, muda wa kula zile dakika 10 mimi huwa nakula hapo hapo sipendi kubebana na chakula kulia ndani ya basi
 
Mimi sio kula tu. Hata soda huwa napenda niimalize haraka haraka ikiwa ingali ya baridi.
Nilijua niko peke yangu.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Wee Sasa ndio unaonyesha maana halisi ya haraka .

Hapo Kwenye kutokujivunga mkiwa Mtoko, nimepapendaaaa
Siku ya kwanza natoka na huyu mwamba wangu. Alinishangaa sana...
Alikuja kuniambia kwamba hajawahi kutoka na mwanamke kama mimi ambaye sjivungi kula.
😅😅Hakuwa mtu wa kula sana nikamfanya hadi akawa anakula akapata mwili.

Sina utani linapokuja suala la kula na kunywa.
 
Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake.

Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza Chakula ,Kuna wakati nilikua naamua kumuachia mtu Chakula. Ipo hivi, sipendi kutumia muda mwingi wakati wa Kula yaan najihisi

Napoteza muda, kile kipindi cha ukuaji na usomaji wa shule, nilikua namambo mengi mnoo, mpiraa, kucheza na watoto wenzangu, Kusoma, yaaan Kuna wakati nilikua hata Naskip Msosi, tabia ya kuskip Msosi hata Leo ninayo, yaan ikitokea tuu Nina Ubize mwingi au Nina jambo ambalo linahitaji utulivu wa akili, niwe kazin au Nyumban, aiseee kama Nimeamka nalo Asubuhi , basi ni mpaka nitakapolimaliza vizuri ndio Sasa nikumbuke kula, hapo chai sijanywa, cha mchana sijala.

Kipindi nasoma Sekondari na Hadi Chuo, nilikua kama Nina kazi za kitaaluma, aiseeee Chakula kinakua nje kwanza ya ratiba zangu , ni mpaka nimalize kazi hizo na tena Kwa Njaa Ile, ndio nilikua nikizifanya Kwa umakini sana na vinakaa kichwan sana...Nikija kwenye kula, basi nakula chapuchapu, niwahi kumaliza nifanye mambo mengine!

Mimi naweza kula Nimesimama yaan ilimradi tu nikimbizane na kitu fulani.

Nashukuru Wife wangu ananijua, maana tulitoka naye mbali, ila hata yeye Kila siku lazima nimuache mezani , yeye anajilisha taraaaaatibuuuu. Mimi siwezi.

Sasa Bwana nikiwa ugenini kasheshee bin kasheshee, yaani hapo ili nitumie muda mrefu, inanibidi Nile huku napiga stori vyauongo na kweli. Nile huku natumbua macho kwenye TV na Kujifanya fanya Sina taimu na Msosi kumbe hapo unakuta nazuga tu na nataman muondoke Mara Moja ,Nile chap ,mrudi nikute nimamaliza[emoji1787][emoji1787]

[emoji117]Sijihisi kushiba. Ebwana eeehhh nikila taratibu taratibu nakua Sijihisi kushiba, yaaan najihisi tumbo langu halipokei kitu kabisaa, Kooo halipitishi kitu kabisaa, na ikitokea Ivo kwenye mazingira Fulani. Basi nitafanya namna niende Mahali nikapige Msosi upya!

Ile tunasema tafuna Chakula kwanza kiwe lojolojo ndio umeze, eeeeehhh hapo Mimi ndio naonaga Napoteza muda, Chakula kikiwa kinywan nakigeuza Moja, mbili ,tatu, ili mradi nimekivunjavunja, basiiiiiiiii namezaa!

Sasa kweli wali, wali jaman niutafune kinywani Kwa muda mrefu,?? Ili iweje ? Wenyewe tu tu tupunje tudogotudogo , wali ni pa paa paa meza, kwanza ukitafuna tafuna sanaaa matokeo yake ndo kutafuna Mawee uanze kulaumu mpishi!

Kuna Siku nmetoka na Bidada wangu Mmoja Boss fulan ivi, basii nikaagiza Nyama ya Mbuzi kilo ya kukaanga na ndizi mkaango na Juice fresh, yeye nikamuagizia Kilo ya Kitimoto na mapombe yake, sasa Mwanangu, Yule Bidada ni Boss alafu Ana cheo Cha kuchaguliwa.

Wakuu nikawa najifanya kula taratibu taratibu , uzalendo ukanishinda nikamchana Laivu, Oyaaa Mimi kula taratibu SIWEZI, ngoja nikipigee chapchap , sema ni vile ma Bidada mabonge hayanaga shida, yenyewe ni kuchekacheka tu basi [emoji1787][emoji1787] nikala Kwa speed yangu!

Siku hizi sijipi shida, Pesa yangu, tutoke out au ndio Niko mwenyewe, kwann nisile navyotaka?
Hii nayo ni kula chakula kimasihara au, mbn imeletwa jukwaa hil?
 
Sijawah kuzid dkk10 ktk kula chakula cha aina yyte kile
 
Back
Top Bottom