Hivi ni mimi ninayekula chakula kwa Speed au nyie Wenzangu mnawezaje kutumia nusu saa kwenye kula tu?

Wanaokula haraka wengi wao ni vibonge (sio wote ila wengi). Mimi kama daktari nawashauri muanze kula taratibu, mtafune taratibu. Sawa?
Kuna uhusiano gani kati ya kula haraka na ubonge?
 
Mim bib yangu alikuwa akiniambia kula haraka chakula kitapoa kikose ladha,
Ila kuna watu nawafaham wanakula polepole mpaka chakula kinapoaaa wanakula wanapumzika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imagine mtu anakula halaf anapumzika
Nna ndugu yangu namwambiaga mi siwezi kutoka nae ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€nisije onekana km kidume๐Ÿ˜€anakula taratibu yaani tonge moja anashika simu dakika kumi ndo anakuja kula tena hapo mi nshamaliza zamaaaani nimeshiba mpaka nimesahau ye bado tu
 
Nikajua huu uzi utakuwa hauhusiani na chakula[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuuu Mimi ni mwembamba na Sina kitambi .

Au niongeze kiasi Cha Msosi?.
Basi itakuwa unakula kwa kiasi.
Mimi pia nipo hivyo, nakula haraka sana na niliamua kutojivunga yaani sina aibu hata kama ni first date speed ni ile ile.

Pia nina uwezo wa kuandika haraka..nilivyokuwa primary nilikuwa naenda sambamba na mwalimu ubaoni halafu naandika madaftari mawili na la rafiki yangu, sometimes madaftari matatu. Mwalimu akimaliza na mimi namfatia. Sijui kama bado nina uwezo huo tena maana sifanyi kazi ya kushika kalamu.
 
Madaftari matatu? Mbona kama chai Demi
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wee Sasa ndio unaonyesha maana halisi ya haraka .

Hapo Kwenye kutokujivunga mkiwa Mtoko, nimepapendaaaa
 
Nilikuaga siwezi kula haraka JKT ikanifunza ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€utachagua ule haraka urudi combania kwako kwa raha au ule taratibu urudi kwa kichura
๐Ÿคฃ apo ulikamatika kwahyo baada ya kutoka JKT ndio ikawa ndio utaratibu wako kula haraka?

Mim nakula haraka nikiwa safarini, muda wa kula zile dakika 10 mimi huwa nakula hapo hapo sipendi kubebana na chakula kulia ndani ya basi
 
Mimi sio kula tu. Hata soda huwa napenda niimalize haraka haraka ikiwa ingali ya baridi.
Nilijua niko peke yangu.
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ Wee Sasa ndio unaonyesha maana halisi ya haraka .

Hapo Kwenye kutokujivunga mkiwa Mtoko, nimepapendaaaa
Siku ya kwanza natoka na huyu mwamba wangu. Alinishangaa sana...
Alikuja kuniambia kwamba hajawahi kutoka na mwanamke kama mimi ambaye sjivungi kula.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Hakuwa mtu wa kula sana nikamfanya hadi akawa anakula akapata mwili.

Sina utani linapokuja suala la kula na kunywa.
 
Hii nayo ni kula chakula kimasihara au, mbn imeletwa jukwaa hil?
 
Sijawah kuzid dkk10 ktk kula chakula cha aina yyte kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ