Hivi ni sahihi kwa mke mwenye mshahara wa 'Six Figures' kumuomba mumewe elfu 20 ya kusukia?

Una mke kwanza? Maana hili la muhimu zaidi
 
Hujui tu cha kupewa kinanoga sana[emoji854] Mwanamke hata awe millionea sio kwamba anashindwa kujifanyia ila anataka kujiskia na yeye anajaliwa/anafanyiwa na mwenza wake.

Mishahara hii imewafanya wanaume waishi na wanawake kama wanaume wenzao kisa ana hela, unamhonga honga mara 1 moja ajiskie na yeye anatunzwa.

Ila hapa siongelei wale wa kila kitu mpaka mwanaume.
 
Hahahaaa!!! We jamaaa noma sana

Ako na salary ya six figure, six figure ndio nini, na ako na salalry ndio nini we mtu wa Machakos, kwanza mna working papers au mnafanya kazi under the table hapa bongo ??
 
Sawa mama tumekusoma. Wanaume Lazima tujifunze kuishi na wanawake kwa akili.
 
WAKURUNGWA 7; 12

Amin Amin Nawaambia, pesa ya Mwanaume ni ya Familia na Pesa ya Mwanamke ni ya Kwake. Mume Mpumbavu huinung'unikia pesa ya mkewe.
 
WAKURUNGWA 7; 12

Amin Amin Nawaambia, pesa ya Mwanaume ni ya Familia na Pesa ya Mwanamke ni ya Kwake. Mume Mpumbavu huinung'unikia pesa ya mkewe.
Wewe endelea na 2G wakati Dunia imesha pita 3G, 4G na sasa inaenda 5G
Ukitoka usingizini nenda ukabadilishe line
 
Habari JF.

Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Hawa ndio mungu amewaumba hivyo aisee. Vumilia tu.
 
Wewe endelea na 2G wakati Dunia imesha pita 3G, 4G na sasa inaenda 5G
Ukitoka usingizini nenda ukabadilishe line
Siku akijua pesa ya Mkewe inaliwa na bodaboda ataenda kujinyonga!! Kuna Wanawake ndani hawezi hata kumkopesha Mumewe,lakini huko Nje kuna Wanaume za Watu kawakopesha bila dhamana yoyote!!
 
Habari JF.

Naomba kuuliza, my wife ako na salary ya around 2 milioni but nashangaa kila weekend naombwa elfu 20 ya kwenda kusukia. Is it fair wakati salary yake hakuna kitu inafanya hapa home?
Subiria wale wa 50/50 waje kukulenga kaa chonjo!
 
Siku akijua pesa ya Mkewe inaliwa na bodaboda ataenda kujinyonga!! Kuna Wanawake ndani hawezi hata kumkopesha Mumewe,lakini huko Nje kuna Wanaume za Watu kawakopesha bila dhamana yoyote!!
Hii ni hatari kmmmke, na bado mkizinguana anataka mgawane mali pasu kwa pasu 😂
 
Six figure ya currency gani, manake kama ni six figure ya TSH mmmh!!
 
Mwanamke wa kibongo ni mbinafsi balaa 🤣🤣🤣 na wapo mstari wa mbele kuji proud na hio tabia yao ya kipuuzi. Mie mke wangu lazma hela yake ilete tija kwenye familia. Haiwezekani mwanamke ana hela nyingi halafu nimuache anletee nazo jeuri...ntaziundia kamati tu ya kuzibomoa au tuziweke mahali salama ila ambapo hatakuwa na access nazo bila kumruhusu. Hela inatabia ya kuleta kiburi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…