Hivi ni sahihi kwa mwanaume anayejiamini kumuuliza mwanamke, what will you bring to the table?

Kupika na kufua ndo kusacrifice Ndoto zako?

Unavyosema hao watoto utadhani n watoto wa mwanaume pekee, kumbe n wako pia 😂

Wanawake bhana 😂
Hiyo point yake ya kupika na kufua usiibeze, ni point kubwa sana, ila nikuulize wewe kwa kuangalia tu juu juu couple zilizokuzunguka kwenye pita pita zako, ni asilimia ngapi ya wadada wanawapikia na kusafisha mageto ya boyfriends wao Mbaga Jr
 
Hiyo point yake ya kupika na kufua usiibeze, ni point kubwa sana, ila nikuulize wewe kwa kuangalia tu juu juu couple zilizokuzunguka kwenye pita pita zako, ni asilimia ngapi ya wadada wanawapikia na kusafisha mageto ya boyfriends wao Mbaga Jr
Hicho kibarua na watu wanalipwa na bachelor kukifanya eti! Sio kazi ndogo kufulia mtu mzima🤔
 
Kwani wanaume mnataka nini exactly? Hebu wekeni wazi, bila madharau wala kejeli au kisingizio cha 50/50! Hebu semeni mnatakaje exactly! Na mnatumia njia ipi kuwekana sawa kwenye hili jambo na wenza wenu?
Hizi mada haziishagi
 
Mbona kuna wanawake wengi tu wameolewa na wanaume masikini makapuku?!
Hizi ni ndoa za zamani na anaendelea kuwa kwenye hiyo ndoa simply she's out of options kwa sasa. Maybe tayari ana watoto au umri umeenda.
 
Fact,
Wanawake wengi sana wanaishi kwa favors, tena hawa ambao bado kuolewa ndio kabisa yani.

Ni rahisi kwa Ke kutuma sms ya kuomba 10k kwa mwanaume au hata rafiki yake wa kike kuliko Me kutuma same sms kwa mshkaji wake au rafiki wa kiume.

Ni rahisi pia kwa Ke kupokea 10k anapoomba kuliko wewe kupewa.
 
Mbona mnatuonea wivu we mzee😆
 
Increase your voice pliiz 🔥🔥🔥🔥
 
Dhana ya nitakaa nyumbani ninunuliwe Kila kitu na mwanamme no dhana mbovu isiyo na maana!!

Mwanamke ni msaidizi wa majukumu ya Kila siku na sio mzigo was kila siku!!
Siku hizi wanawake wamejiandaa kuwa mizigo na sio wasaidizi!!
Huwa nawaambia vijana NI AIBU ILIYOJE KUZAA MTOTO OMBA OMBA YAANI KAJIANDAA KUOMBA MAISHA YAKE YOTE KISA KAZALIWA MWANAMKE,NI AIBU COZ SIO TAFSIRI HALISI YA KIUMBE HAI KWANI TULIUMBWA ILI TUTAWALE NA KUMILIKI VYOTE DUNIANI NA SIO KUOMBA OMBA!
 
Mwenyewe hapa najiandaa nikawe kamzigo mahali fulani🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…