Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Kama kawa........
 
Ebu nipe namba yako Piemu uone kama nitaandika kama huyo
 
Hakupi hela au Humpendi, text ya mwanaume haina unyonge kwa mwanamke
 
Mi sitaki uendelee vizuri,nenda uongeze na kaswende
Nilichokigundua ni kwamba hauko serious na haya maisha.

Hili gonorrhea nimelipata juzi. Kwako ni uwanja wa mazoezi tu. Kaswende na STDs nyingine nitazipata KIMBOKA.

Make appointment tupige mechi ya kirafiki.
 
Mimi nlijua "Niambie" ni txt ambazo mnapenda kuziandika nyinyi wanawake
 
Mambo Joana
 
Nilichokigundua ni kwamba hauko serious na haya maisha.

Hili gonorrhea nimelipata juzi. Kwako ni uwanja wa mazoezi tu. Kaswende na STDs nyingine nitazipata KIMBOKA.

Make appointment tupige mechi ya kirafiki.
Sawa.Njoo PM chap kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…