Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😁😁 wakuja hawezi kuelewa dada🤣🤣🤣Ila mademu wa A town wasela sana nyie...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁 wakuja hawezi kuelewa dada🤣🤣🤣Ila mademu wa A town wasela sana nyie...
Kama kawa........Kwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini?
Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu.
Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema?
Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa?
Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" 😣
Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie nini sasa? Eti huwa mnataka tuwaambie nini? Binafsi sana, sana ukiniambia nikwambie, nitakuomba hela... Halafu utaanza kulalamika na kulilia, maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia, wakati wewe mwenyewe umesema nikwambie, au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli, mtu akishaniambia hiyo "NIAMBIE," huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi, viumbe vya mola, jamani.
Ebu nipe namba yako Piemu uone kama nitaandika kama huyoKwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini?
Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu.
Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema?
Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa?
Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" [emoji21]
Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie nini sasa? Eti huwa mnataka tuwaambie nini? Binafsi sana, sana ukiniambia nikwambie, nitakuomba hela... Halafu utaanza kulalamika na kulilia, maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia, wakati wewe mwenyewe umesema nikwambie, au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli, mtu akishaniambia hiyo "NIAMBIE," huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi, viumbe vya mola, jamani.
Tangulia nakujaNjoo pm tuanze mdogo mdogo
Kuwa huru mamaaNikwambie kitu...
HahahahahaMwa J nilimwambia "naomba nikupige pipe" akanijibu "joo", then nikamwambia "nilikua nakutania tu"....🤣🤣🤣
Nimejiridhisha sasa naendelea vizuri.We ndio mwanaume rijali Sasa,njoo nalo hivyohivyo
Nilichokigundua ni kwamba hauko serious na haya maisha.Mi sitaki uendelee vizuri,nenda uongeze na kaswende
Mambo JoanaKwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji, huwa mnawaza nini?
Mtu anakuandikia mambo? Unamjibu poa tu.
Anauliza tena, Kwema? Unamjibu kwema?
Anauliza tena, uko poa lakini? Unajibu poa?
Sasa anamalizia tena, "NIAMBIE" 😣
Jamani, hebu muwe serious basi. Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie nini sasa? Eti huwa mnataka tuwaambie nini? Binafsi sana, sana ukiniambia nikwambie, nitakuomba hela... Halafu utaanza kulalamika na kulilia, maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia, wakati wewe mwenyewe umesema nikwambie, au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli, mtu akishaniambia hiyo "NIAMBIE," huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi, viumbe vya mola, jamani.
Sawa.Njoo PM chap kwa harakaNilichokigundua ni kwamba hauko serious na haya maisha.
Hili gonorrhea nimelipata juzi. Kwako ni uwanja wa mazoezi tu. Kaswende na STDs nyingine nitazipata KIMBOKA.
Make appointment tupige mechi ya kirafiki.
Okay.Sawa.Njoo PM chap kwa haraka
Nitext humu 0698040052. Huko PM umefanya kuwe mbali sasa.Sawa.Njoo PM chap kwa haraka