Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mambo Joannah, upo poa lakini ? Hujambo ?😏
 
Inategemea.. ukikutana na keyboard juggler kama mimi utakuw unamiss text zangu.. mie mvivu pia wa kuongea na simu, nyie wanawake ndio mnapenda kuongea hata masaa manne mpk skio linauma.
Yani me sipendi mtu wa kunitext kila mda, sijui umekula, unafanya nini, uko na nani khaa... Me nitakupigia mara moja asubuhi na usiku kabla ya kulala na kama kuna dharura. Siku nyingine naassume tu umeamka salama napita hivi kimyakimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…