Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Madame B yule habari nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Miaka ya nyuma ndiyo tulikuwa tunamfaidi sana....Alikuwa active kuliko sasa hivi.

Na mambo yake akiandika yuko serious huyo[emoji1787]
Lile ninja aiseee!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani jana nimelala mbavu zinauma
Mi napenda watu km wale, alafu mara nyingi hawana unafki wala kona kona..!!!
Jana kuna kitu kaongea, nikikumbuka nacheka balaa!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wa 'Ulisi'

Cuzo mimi sitaki dhambi....Nakaribia Kwaresma....
 
Wanawake tunapenda badboys kama hujui..... mwanaume mwenye experience ndio dream ya Kila mwanamke mjanja....Sasa wewe endelea kuwa baba paroko
 
Niambie Joannah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…