Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Madame B yule habari nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Miaka ya nyuma ndiyo tulikuwa tunamfaidi sana....Alikuwa active kuliko sasa hivi.

Na mambo yake akiandika yuko serious huyo[emoji1787]
Lile ninja aiseee!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani jana nimelala mbavu zinauma
Mi napenda watu km wale, alafu mara nyingi hawana unafki wala kona kona..!!!
Jana kuna kitu kaongea, nikikumbuka nacheka balaa!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hao wa "afu"ndio special edition kabisaaa ni genge la Shaban wa Zamaradi.....Kuna mkaka mzuri tulibaxilishana namba nilikuwa na lengo zuri la kuwasiliana nae,,kosa la kiufundi ni Ile meseji yake ya pili baada ya salamu nikamlamba block
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wa 'Ulisi'

Cuzo mimi sitaki dhambi....Nakaribia Kwaresma....
 
🀣🀣
Ndio maana mnateswa na mapenzi. "Mwanaume anayejielewa akikuangalia tu anajua akuanzie wapi". Mwanaume wa aina hiyo ni mwanaume mzoefu na wasichana. Huo ujuzi hauwezi kuupata ukiwa na CV ya wasichana wachache mtu mwenye uwezo wa kumpanga msichana CV yake ni kuanzia wasichana 20+ na kuendelea.

Ukiona mtu mwenye maisha yake, kazi yake ila hajui kuchat au kumpanga msichana hapo kuna mawili ama ni domo zege au CV ndogo.


Ndio maaana mnaangukia kwa vijana wa hovyo wenye CV kubwa 🀣🀣.
Wanawake tunapenda badboys kama hujui..... mwanaume mwenye experience ndio dream ya Kila mwanamke mjanja....Sasa wewe endelea kuwa baba paroko
 
Kwema?

Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?

Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,

Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?

Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""😣
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?

Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
Niambie Joannah
 
Back
Top Bottom