Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Vinyanya chungu πππVipira ndo vinini jirani ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vinyanya chungu πππVipira ndo vinini jirani ππ
Aisee ππππVinyanya chungu πππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afu ww makiendo ntakudunda [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema afu inapendeza ifupishwe na ke inakuwa km anadeka flani..!! Sasa dume lenye vipira vyake hapo atakuwa anazingua
Nondo na misumari, na vifaa vyote vya ujenzi..!!
Ushanunua plot..!!!?
Lile ninja aiseee!! ππππππMadame B yule habari nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miaka ya nyuma ndiyo tulikuwa tunamfaidi sana....Alikuwa active kuliko sasa hivi.
Na mambo yake akiandika yuko serious huyo[emoji1787]
Kuna watu wanajielewa kiuchumi ila hawana uwezo kutokana na ama kuwa domo zege au CV ndogo. Kwa hiyo inabidi ama wafundishwe kuongea, au pesa iwasaide kuongea, au pawe na mtu wa kumfanyia connection na mwanamke.Mwanaume ambaye anajielewa hawezi kufundishwa namna ya kuwasiliana na mwanamke maybe .
Naview tu halafu natulia kimya, hua sina cha kujibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wa 'Ulisi'[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa hao wa "afu"ndio special edition kabisaaa ni genge la Shaban wa Zamaradi.....Kuna mkaka mzuri tulibaxilishana namba nilikuwa na lengo zuri la kuwasiliana nae,,kosa la kiufundi ni Ile meseji yake ya pili baada ya salamu nikamlamba block
Wanawake tunapenda badboys kama hujui..... mwanaume mwenye experience ndio dream ya Kila mwanamke mjanja....Sasa wewe endelea kuwa baba parokoπ€£π€£
Ndio maana mnateswa na mapenzi. "Mwanaume anayejielewa akikuangalia tu anajua akuanzie wapi". Mwanaume wa aina hiyo ni mwanaume mzoefu na wasichana. Huo ujuzi hauwezi kuupata ukiwa na CV ya wasichana wachache mtu mwenye uwezo wa kumpanga msichana CV yake ni kuanzia wasichana 20+ na kuendelea.
Ukiona mtu mwenye maisha yake, kazi yake ila hajui kuchat au kumpanga msichana hapo kuna mawili ama ni domo zege au CV ndogo.
Ndio maaana mnaangukia kwa vijana wa hovyo wenye CV kubwa π€£π€£.
Niambie JoannahKwema?
Hivi nyie baadhi ya wanaume unavyoandikia mwanamke meseji Huwa mnawaza Nini?
Mtu anakuandikia mambo?unamjibu poa tu,
Anauliza Tena,Kwema?unamjibu kwema?
Anauliza tena,uko poa lakini?
Unajibu poa?
Sasa anamalizia Tena""NIAMBIE ""π£
Jamani hebu muwe serious basi,Umeanza mwenyewe mazungumzo halafu unaniambia nikwambie, nikwambie Nini sasa?eti Huwa mnataka tuwaambie Nini?Binafsi sana sana ukiniambia nikwambie nitakuomba Hela....halafu utaanza kulalamika na kulilia maana watu wenyewe wa siku hizi tunawajua ni lialia,wakati we mwenyewe umesema nikwambie.,au ni kutafutana lawama tu?
Kwa kweli Mtu akishaniambia hiyo"NIAMBIE"Huwa anikera sana...
Hebu tupumzisheni basi viumbe vya mola jamani..
π€£Wanawake tunapenda badboys kama hujui..... mwanaume mwenye experience ndio dream ya Kila mwanamke mjanja....Sasa wewe endelea kuwa baba paroko
Wee sema kweliπ€Leejay my crush [emoji7]
Mimi ni mvivu wa kusoma sms hapa nilipo nina sms 99+sijazifungua ,ukishindwa kupiga simu ni bora ukatulia tuu
Lirudishwe pls jamani πππππππ jukwaa la wakubwa ilikuwa raha tulikuwa tunajiachia vilivyo na kina Evelyn Salt