Naomba ufafanuzi wa 4R..aliandika makala kuhusu falsafa yake ya "4R."
..sina uhakika kama alikuwa na uelewa wa alichoandika, au aliamini kwa dhati andiko lake.
..zaidi, aliitupilia mbali falsafa ya 4R muda mchache baada ya kuchapisha makala hiyo.
Ni kwamba amaembiwa ukweli, kuwa chama chake hakina ushawishi wa kihivyo, kwahiyo akifanya siasa za kistaarabu zitakigharimu chama chake, na wenye chama hicho chama ndio kinga ya wizi waliolifanyia taifa hili. Ni aidha aendelee na siasa chafu za chama chake, au majizi wamchomoe wasije poteza Dola na kuishia jela.Aliona siasa za Afrika zimejaa ujinga na ukizi approach kwa ideals kama mwenyewe alivyokuwa anajaribu mwanzo utaishia kujuta tu
Ndio maana sasa anarudisha na wale mafioso wa Magufuli
Mkuu hazina ufafanuzi wowote, Bali ni ulaghai kama ulaghai mwingine.Naomba ufafanuzi wa 4R
Naomba ufafanuzi wa 4R
Watu wameomba tasnifu ya Samia ndugu wakili sio mawazo yako au maneno ya kumpamba Samia.
Recylcing of failed politicians ( Makamba, Nape , Ridhiwani, Madelu, Pindi Chana, Chalamila, Batilda Buriani, Ummy Mwalimu e.tc)1.Reconciliation.
2.Reforms.
3.Resilience.
4. ??
Wee jamaa umenichekesha sanaRecylcing of failed politicians ( Makamba, Nape , Ridhiwani, Madelu e.tc)
Mleta hojahakufanya utafiti kabla ya kuja kulalamika..kama Magufuli aliandika itakuwa ni ktk majaribio ya wakemia wenzake.
..Magufuli hakuwahi kuandika makala yoyote akiwa kiongozi na mwanasiasa ktk masuala ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi.
..Hata hotuba alipozokuwa akitoa hazikuwa zikiwekwa ktk tovuti ya Ikulu kama alivyofanya Mkapa na Kikwete.
Rebuild1.Reconciliation.
2.Reforms.
3.Resilience.
4. ??
Hivi the late Nyerere alifariki akiwa na PhD?..Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Maganda ya Korosho PhD.Hivi the late Nyerere alifariki akiwa na PhD?..
Hivi the late Nyerere alifariki akiwa na PhD?..
Unataka "paper" nenda chuo kikuu maktaba ya Afrikana" ukasome "paper".Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na Masters, ziko wapo Research reports zake tuzifanyie Literature Review.
Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi chungu mzima. Lakini hatuoni hatuoni hata moja ikipatiwa majibu ya utatuzi. Nchi ni kama mgonjwa anayesubiri muujiza wa Baba wa Mbinguni tu.
Lakini hakujiita Dr Nyerere..Mwalimu Nyerere hakuwa na PhD, alikuwa MA toka chuo kikuu cha Edinburgh Scotland.
..Lakini alitunukiwa Shahada za Heshima za Falsafa ni vyuo vingi vyenye hadhi kubwa duniani.
..Na mihadhara aliyokuwa akitoa baada ya kutunukiwa Shahada hizo ilikuwa mizito kwelikweli.
Rubbish! Hana uwezo wa kuandika any intellectual paper! Never, Hana kwa intellectual capacity ipi from her scholarly history