Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

Nyerere alifunga kiwanda cha Matrekta cha LONRHO akafunguwa kiwanda cha majembe ya mkono UFI Ubungo

"If such are the priests God bless the congregation".
Pumba! Unayajua kiwanda cha matrekta ya Valmet?
 
Nyerere alifunga kiwanda cha Matrekta cha LONRHO akafunguwa kiwanda cha majembe ya mkono UFI Ubungo

"If such are the priests God bless the congregation".
Mkuu nyerere kuna kitu alitaka kutufanya watanganyika ila Mungu nae akamuepusha
 
Pumba! Unayajua kiwanda cha matrekta ya Valmet?
Kiwanda hicho kilikuwa cha mtu anayeitwa Tiny Rowlnds, mwenye kampuni ya LONRHO. Kikafungiliwa mbali na Nyerere.

Huwa sikisii.
 
Huwa anaandika za kwenda Oman
 
CCM haijawahi kuwa na nia njema zaidi ya wizi wa mali za umma pekee
 
Nyerere alikuwa na mapungufu yake lakini huwezi kumlinganisha na haya majangili ya sasa.
 
Ajuza udini una kutesa sn
Huwa sikisii, Hujaupenda ukweli? katafite hii:

On June 2, 1978, the Tanzanian government under President Julius Nyerere ordered the British multinational corporation, Lonrho Limited, to leave the country.
 
Lazima kulikuwa na sababu za msingi, nitaisoma naamini kwenye google siwezi kuikosa, Nyerere ni binadamu alikuwa na mapungufu yake ndiyo maana alikiri, lakini watu walisoma bure, kutibiwa bure na kusafiri bure bila madini wala gas, leo kuna kila kitu lakini huduma ni mbovu kupita kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…