After this madame follows Kikwete Jr ndio nikionacho mimiThis man is evil..! Trust it, kuna kitu anapigania si bure.
Ni nachojua ni kuwa, Abdu na riz wanafanana sana.
Labda ni sababu ya familia zao kuwa marafiki.
Umesababisha niingie kuangalia picha zao kama wanafanana😀😀
Kafiruulah 🤔Hivi si ulisema ni mtumishi wa Mungu alie hai ? Mbona haya mimi nisiye amini uwepo wa Mungu hata sithubutu kuyatamka???🙄🙄🙄
Umenena ukweli mtupu mkuuMfumo wa uendeshaji wa taifa letu ni batili, hivi mtu kama Samia Suluhu Hassan anakuwaje Rais? Huyu hawezi pita kama kungekua na chujio imara la wataalam linalo chambua watu wa kugombea kiti cha U-Rais wa nchi.
Wewe ulitaka je? Kwamba wawe maadui kama Lissu na Mbowe?Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
We una akili gani cjui .upinzan usifanye Kila kitu uone ni makosaSikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
Heshima ukiwa nayo wewe inatosha.. wewe mpumbavu niniKuwa na heshima. NRNE
MmmSikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
Inajulikana muda mrefu tu kuwa mna ajenda ya Siri na jk......hivyo hata iweje mtasema tu mnalolijisikia. Uzuri ni kwamba Kuna Mungu anayeangalia yoteSikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere
Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki
Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki
Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ?
Sasahivi kila alipo Samia na Kikwete yupo pale pale
Kibaya zaidi Kikwete kagoma kabisa kukemea maovu
Kagoma kabisa kukemea Utekaji, mauaji, ulawiti, na watu kupotea...
Kibaya zaidi amegoma kukemea wamaasai kufukuzwa Ngorongoro
Kagoma kukemea uhuni juu ya bandari zetu kupewa waarabu
Kibaya zaidi amekuwa mbele kumsafisha Samia na kutembea naye Popote waendapo kuliko hata mme wake?
Sijawai kuona Rais mstaafu Chawa Kama Kikwete
Kikwete na Samia wana ajenda gani na Taifa ili mbona sielewi?
What's wrong with this man?
https://www.facebook.com/Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

NO REFORMS, NO ELECTION.Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere

Achaa matusi NRNEHeshima ukiwa nayo wewe inatosha.. wewe mpumbavu nini