Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

Leta video moderators wataamua waifute au la.

Tutajuaje usemayo kama ni ya kweli ama uchochezi na kupotosha umma
 
Naona unahasisha watu twende tukajionee!

Embu sema ni wapi huku..Nahisi hali ya mtoko sahiiπŸ€—
 
Kuna ile moja wale wamevaa jezi za yanga πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kuna ile ingine yule dada anaweka wine sijui whisky kwenye tigo aafu anapuliza πŸ˜…πŸ˜… alafu mchana kweupe

Dunia ishaisha aisee
Ebu nipe hiyo ya tigo na whiskey nione jamni mbona napitwa na mengi
 
Mama mtu wa taarab unategemea nini hapo??!! Chuma kilipoingia ikulu kundi lililokua likitamba kwa kucheza uchi nchini Kanga moko laki si pesa lilisambaratishwa Kimya kimya, nchi imerudi kwenye mizaha ndio maana hivyo vikundi vimerudi kwa kasi ya kutisha.
 
Serikali imeweka sheria kusambaza vdeo zisizo za maadili, na imeweka sheria watu kutokufanya vitendo visivyo vya kimaadili mfano ngono hadharani..

Sasa Hili la wanaojifungia kwenye kumbi ya starehe serikali inalizuiaje? Serikali iweke polisi kuzuia watu wazima wasivue nguo? Au izue kumbi za starehe?
 
Serikali imeweka sheria kusambaza vdeo zisizo za maadili, na imeweka sheria watu kutokufanya vitendo visivyo vya kimaadili mfano ngono hadharani..
Labda unisaidie- kwenye maeneo na kumbi za starehe ni faraghani ? Siyo hadharani?
 
Hivi unadhani Tanzania ni nchi iliyopo mbinguni au duniani.

duniani kuna mazuri na mabaya wewe ndio unaoption ya kuacha kipi na kufuata kipi..

tena bongo tupo nyuma sana kwenye starehe starehe hizi kuna nchi huko unaweza kuzimia kwa utayoyaona..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…