Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
Starehe ndio hiyo sasa, unalia lia niniNilifata starehe tu
Yanga ndio wana tabia hizoSerikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.
Ni kwasababu tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.
Serikali ichukue hatua haraka.
kwani kuwa mwanao kunaodoa her body to be her's! to belong to her, her possession and she can use it the way she likesUkimkuta mwanao utasema ni mwili wake?
Mkuu iyo ya jezi ya yanga naitafuta sana. Embu Fanya kampango niioneKuna ile moja wale wamevaa jezi za yanga 😅😅😅
Kuna ile ingine yule dada anaweka wine sijui whisky kwenye tigo aafu anapuliza 😅😅 alafu mchana kweupe
Dunia ishaisha aisee
Taja ata sehemu moja tukasuuze runguKweli mkuu. Tunaharibu taifa. It is too much!!
Usishangae sana hizo ndio waita Strip club.Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama.
Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya Sana.
Ni kwasababu tu nabanwa na vigezo na masharti ya JamiiForums , ningeliweza kuweka clip za videos na picha toka maeneo mbalimbali zikioneaha wasichana wakifanya mambo machafu hadharani.
Serikali ichukue hatua haraka.
Mb 16 ni nying sana mkuu😅😅tulia tuMkuu iyo ya jezi ya yanga naitafuta sana. Embu Fanya kampango niione
Mb 16 ni nying sana mkuu😅😅tulia tu
Sawa mkuu
Umenikumbusha late 70s wazee wakiona mshichana kavaa suruali wanatuambia kamchapeniTatizo ni nyie wanaume mnapenda kuona hivyo. Mngekuwa mkiwaona wakicheza hivyo mnawazomea na kuwapiga mawe kama ilivyo mtu akipita kariakoo basi hayo mambo yangepungua sana.
Mkuu nimekuPM boss[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ile moja wale wamevaa jezi za yanga [emoji28][emoji28][emoji28]
Kuna ile ingine yule dada anaweka wine sijui whisky kwenye tigo aafu anapuliza [emoji28][emoji28] alafu mchana kweupe
Dunia ishaisha aisee
Yani washaona wakiwaweka uchi wanaume watajaa kwenye bar kunywa pombe. So usitegemee hayo mambo kupungua ila yataonhezeka sanaUmenikumbusha late 70s wazee wakiona mshichana kavaa suruali wanatuambia kamchapeni
Na hawakuvaa tena Enzi hizo
Ila kwa sasa ukimgusa mtoto baba yake anakuja juu maana anaona sawa tu
Hahahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaenda kasino na ushamba wake ,wale mabaunsa hakuwaona mlangoni
😅😅😅😅😅😅😅Mkuu nimekuPM boss[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi Serikali isizifunge hizo locations mpaka ututajje banaSiyo vizuri nikuingize kwenye dhambi
Ni ulimbukeni na uchafuYani washaona wakiwaweka uchi wanaume watajaa kwenye bar kunywa pombe. So usitegemee hayo mambo kupungua ila yataonhezeka sana