Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Sio kweli shule nyingi Dar zina waalimu zaidi ya 200, kimsingi waalimu kwenye majiji yote wametosha na wamezidi, upungufu upo vijijini tu, tena masomo ya sayansi
 
Mkuu kabla hujalaumu walimu angalia namba ya wanafunzi hiyo watoto 503 sio mchezo mzee labda YESU atanye miujiza kufaulu hao watoto na ukizingatia ni shule ya kata.
 
Kama form 11 ambapo ni parahisi matokeo ndio hayo, hiyo shule 2024 matokeo ya form 4 itatia fora kwa kufelisha

Nb: shule za Dar maajabu msingi utakuta halmashauri za ilala, kinondoni zipo top 3

Wakifika sekondari sasa shule za kata zero ni 90+,

Sasa sijui ule ufaulu wa msingi kwa wanafunzi hao hao unayeyukia wapi ama ni mwendo wa 4-4-2 la saba?
 
Hao wanafunzi wenyewe wa mitaa hiyo ya mburahati manzese na maeneo jirani tabia zao unazijua zilivyo?? Hao hata uwajazie waalimu kwa ratio ya 1:1 bado watafeli tuu
kweli kabisa kichwani hamna kitu kuna siku nilipanda na wanafunzi wa form 2 nikawa uliza state the law of flotation hakuna aliyejibu wakati mm nimemaliza shule miaka karibia 9 najua sijashau mpaka leo nilichogundua vichwa vya wanafunzi wa leo vimejaa mapenzi nyimbo za bongo fleva na singeli sasa je masomo yatakaa wapi akili zao zenyewe shake before use na low battery wataweza kweli kuelewa masomo
 
Hyo mitaa ni ya vigodoro daily
Yani mitaa ya sasambua...
Unategemea nini? Mwalimu ukijitia mdomo wanakuloga mchana kweupeee au unatumiwa panya Road
 
Hyo mitaa ni ya vigidoro daily
Yani mitaa ya sasambua...
Unategemea nini? Mwalimu ukijitia mdomo wanakuloga mchana kweupeee au unatumiwa panya Road
Timiza wajibu, pokea mshahara songambele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…