Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Hyo mitaa ni ya vigidoro daily
Yani mitaa ya sasambua...
Unategemea nini? Mwalimu ukijitia mdomo wanakuloga mchana kweupeee au unatumiwa panya Road
Tunazalisha taifa la ajabu miaka ya 2012 kurudi nyuma ilikuwa kidogo afadhali leo hii majanga kweli na wazazi kweli wanaweza kukutupia jini makata kisa unamfatilia mwanae
 
kweli kabisa kichwani hamna kitu kuna siku nilipanda na wanafunzi wa form 2 nikawa uliza state the law of flotation hakuna aliyejibu wakati mm nimemaliza shule miaka karibia 9 najua sijashau mpaka leo nilichogundua vichwa vya wanafunzi wa leo vimejaa mapenzi nyimbo za bongo fleva na singeli sasa je masomo yatakaa wapi akili zao zenyewe shake before use na low battery wataweza kweli kuelewa masomo
Mkuu umemaliza yote; siongezi neno.
 
Hawasomi hao,walimu hata wasipokuwepo Dar tuition Centa ni nyingi mno.Wazazi wa dar wamewadekeza watoto wao kiaina.Pili sheria za shule ni legevu na pia mahudhurio yao huenda sio mazuri
 
Kwa msioifahamu mburahati,ni shule ya secondary ya kata ,iko wilaya ya kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.

Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.

Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.

Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka serikalini?

View attachment 2474008

IMG_1405.jpg

Mbagala wanawasalimieni. ICYMI
 
watoto wa dar wajuaji sana,tutegemee wadangaji na vibaka kuongezeka
 
Suluhisho hapo shule zote za secondary hapo Dar ziwe boarding mana wanafunzi wameendekeza starehe za mjini kuliko masomo.
 
Mkuu , tatizo sio waalimu tu ni ngono watoto wanafanya Sana ngono Hadi wanapoteza focus then wa kiume wana Bet Sana na bangi nyingi na ushoga.

Hapo in short hamna shule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nlitaka nshangae ushoga usiwepo,. Ila mara nyingi mashoga wanakuaga vizuri darasan, couz wanajua hiyo ndo njia ya wao ku run out.
 
Shule inaitwa Mburahati kutoka eneo la Mburahati. Moja ya kitingoji chenye uswahili mwingi sana ndani ya Dar Es Salaam.

Hao wanafunzi wengi wa shule hiyo dada zao ndio wavaa madera wanaocheza singeli kwa kutikisa makalio (chura)

Halafu kaka zao ndio panya road, yaani huko Mburahati unaweza ukakabwa mchana kweupe.

Sasa mwanafunzi anajifunza nini hapo? Wazazi wake wachawi plus chuma ulete...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaziii ipooo??
 
Hao wanafunzi wenyewe wa mitaa hiyo ya mburahati manzese na maeneo jirani tabia zao unazijua zilivyo?? Hao hata uwajazie waalimu kwa ratio ya 1:1 bado watafeli tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli dear.
 
kweli kabisa kichwani hamna kitu kuna siku nilipanda na wanafunzi wa form 2 nikawa uliza state the law of flotation hakuna aliyejibu wakati mm nimemaliza shule miaka karibia 9 najua sijashau mpaka leo nilichogundua vichwa vya wanafunzi wa leo vimejaa mapenzi nyimbo za bongo fleva na singeli sasa je masomo yatakaa wapi akili zao zenyewe shake before use na low battery wataweza kweli kuelewa masomo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Hyo mitaa ni ya vigodoro daily
Yani mitaa ya sasambua...
Unategemea nini? Mwalimu ukijitia mdomo wanakuloga mchana kweupeee au unatumiwa panya Road
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom