Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Hivi shule kama hii ina walimu kabisa watakaoweza kuidai Serikali iwaongezee mshahara bila aibu?

Hapo utakuta timu nzima ya uongozi wa wilaya itaanza kupiga misele hapo ili kufunika kombe. Wana msemo wao "ni upepo utapita Tu".

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app

Tunachojua ni kwamba hakuns mtoto aliyezaliwa akiwa mzima yaani bila shida ya ubongo ambaye hafundishiki
Wajichunguze Mazingira yao tuu, yaani wafundishaji, miundombinu na zana za ufundishaji
 
Usiendee conclusion , nenda Kwa hao majamaa .

Wanavitabu , he mahabara Yao ina vifaa , je waalimu wao wanavitabu he wao wanamahala pakuishi?
Je hali ya waalimu kimaisha ipoje sio unaongea tu as if upo hapo je Milo ya wanafunzi na waalimu ipo??
Ni healthy maana chakula kizuri na mazingira mazuri ya shule ndio ufaulu wa mtoto na jee wanamadawati wote hao??
Ikishaitwa secondary meaning inaupungufu Fulani.

So usilaumu tu kama ni st. Marry's international schools ningesema haya lakini ni Kayumba hapo wamejitahidi sana wa 2 na 3 zimetosha .

Wengine wataenda veta , kuwa mafundi wa kila fani , wapishi kwenye mahoteli, madereva wa serikalini au guides au wamabasi whatever au mtu arisiti ila mbele Kwa mbele ni poa aisee
 
Hapa ndo nimekuelewa mwalimu.
Je huoni kama serikali inaongeza tatizo, maana hao wanaweza penya hadi kufika ofisini kabisa
Si rahisi maana kati ya watoto mia 400 au 500 wanaomaliza form four wanaofaulu ht 20 hawafiki kwenda advance wengi hapo zero tu,wanaofaulu ni wale ambao wanajitambua Kuna madogo shuleni kwetu walipata 1 ya 11 just imagine Tena shule ya kata hao ila Sasa rundoo zero na four
Wengi wanaishia mtaani tu
 
Hata ningekuwa mwalimu wa hiyo shule siwezi kufanya hivyo. Nasahihisha madaftari 500+ kwa mshahara gani?
Kaka tunasahihisha natamani nikuoneshe picha yangu nikisahihisha mpk madaftari yananizidi kimo na Kila siku chukua Madara 7, Maths vipindi 6 Kwa Kwa Kila darasa na wanatakiwa kusahihishiwa woteee
 
Hamna shule hapo! Hiyo ilikua saluni! Alie faulu ana 26 alafu woote wanawake
 
Kwa hesabu za haraka haraka kuna wanafunzi 500+
Hapo mnategemea nini.. Mwalimu amfatilie nani amuache nani, unakuta wengine hata kusoma na kuandika hawajui,tuliosoma kayumba tunaelewa
 
Kaka tunasahihisha natamani nikuoneshe picha yangu nikisahihisha mpk madaftari yananizidi kimo na Kila siku chukua Madara 7, Maths vipindi 6 Kwa Kwa Kila darasa na wanatakiwa kusahihishiwa woteee
Dada itabidi anko wako na shangazi waje uwe unawapiga pindi. 😂
 
Si rahisi maana kati ya watoto mia 400 au 500 wanaomaliza form four wanaofaulu ht 20 hawafiki kwenda advance wengi hapo zero tu,wanaofaulu ni wale ambao wanajitambua Kuna madogo shuleni kwetu walipata 1 ya 11 just imagine Tena shule ya kata hao ila Sasa rundoo zero na four
Wengi wanaishia mtaani tu
Labda serikali inataka angalau mtu afike 4m4 pekee

Maana kwa njia yoyote ile ni ngumu sana mf Mbagala Secondary wanafunzi ni zaidi ya 1200
Hapo mwalimu lazima akome
 
Hamna shule hapo! Hiyo ilikua saluni! Alie faulu ana 26 alafu woote wanawake
... katika mpangilio wa matokeo NECTA hutoa list kwa alphabetical order ikianzia SEX then NAME; hivyo utaona females (F) inaanza then males (M) inafuatia. Kwa kuwa mleta mada kachukua sample; wachache wa juu ndio maana unaona ni as if wote ni wanawake; wanaume wako chini maana asingeweza kutoa list ya watahiniwa wote 503 hapa.
 
Labda serikali inataka angalau mtu afike 4m4 pekee

Maana kwa njia yoyote ile ni ngumu sana mf Mbagala Secondary wanafunzi ni zaidi ya 1200
Hapo mwalimu lazima akome
Duh; 1200 tukienda kwa uataratibu wa enzi hizo wa mkondo kutozidi wanafunzi 45 hapo ni mikondo 1200/45 = 27 (approx.)! Hatari sana.

Na baada ya miaka 5 - 15 ijayo hao kila mmoja atakuwa na watoto 3 (avg.) hivyo mikondo/madarasa 27 x 3 = 81 kwa kidato kimoja! Balaa zaidi. Ongeza na ambao hawapo shuleni ila wanaendelea kuijaza dunia mikondo inaweza kufikia 200 balaa kubwa!

Sijui kama nchi chama chetu kina mipango gani maana wanasema watatawala milele na wametutaka tufyatue vya kutosha!
 
Serikali inahitaji wekeza sana kwenye madarasa. Maana inaonesha kuna upungufu wa madarasa zaidi ya 40,000
 
Haiwezekani....
Jamani tunasahihisha mbonaa sema A tunatoa maswali mawili au matsti halafu the rest swali moja tu,maana ukirogwa utoe maswali manne mikondo yote wee!!maki utaita mma[emoji3]
 
Serikali inahitaji wekeza sana kwenye madarasa. Maana inaonesha kuna upungufu wa madarasa zaidi ya 40,000
... pamoja na nyumba za walimu, ajira mpya za kutosha za walimu, vitabu, miundombinu na resources nyingine muhimu. Otherwise, linaenda kutokea taifa la ajabu siku za usoni huko.
 
Labda serikali inataka angalau mtu afike 4m4 pekee

Maana kwa njia yoyote ile ni ngumu sana mf Mbagala Secondary wanafunzi ni zaidi ya 1200
Hapo mwalimu lazima akome
1200 wachachee hao kwetu tuna 1900plus ukiweka watoro 2000 wanafika Broo
LENGO la serikali ni kufika form four tu na si vinginevyo
 
Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.

Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.

Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.

Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka Serikalini?

View attachment 2474008
Mtoto gani anaweza kusoma Mburahati? Singeli 24/7 ,labda Maswali yanaulizwa wanamziki wa Singeli......Elimu siyo rahisi hivyo
 
Dada itabidi anko wako na shangazi waje uwe unawapiga pindi. [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wataniua maana nikirudi hoiiii usiombe asehh..anko ako mwenyewe yupo sekondari boarding maana amefaulu shuleni kwangu nikawaza sitaweza kujigawa nyumbani shuleni kameenda Huko kakapambane pale kwangu hapanaa mtiti na wakijua Mtoto wa mwalimu weee
 
Kwa msioifahamu Mburahati, ni shule ya secondari ya kata, iko wilaya ya Kinondoni na mkoa wa Dar es Salaam.

Ni shule iliyopo mjini kabisa nikiwa na maana ina access ya nyenzo zote kuanzia walimu na mpaka vitendea kazi.

Sasa haya ndio matokeo yao ya form 2 kwa mwaka jana.

Je, walimu wa hii shule wanastahili kweli kulilia nyongeza yoyote ya mshahara kutoka Serikalini?

View attachment 2474008
Tatizo liko wapi? Sehemu yenyewe Mburahati😁😁Unategemea nini?Watoto hao hawasikii la mwalimu wala la mzazi. Mbona hao wachache walifaulu? Acheni zenu bwana. Walipwe tena kwa wakati. Wakaguzi wako wapi? Timu ya wilaya ya elimu iko wapi? Waratibu wako wapi? Kamati ya shule iko wapi? Nani kaona...😂😂😂
 
Back
Top Bottom