Babu zetu walikua wanafanya hivi kwa ajili ya kulenda ndoa zao zadi ya michepuko hii ni science ya Africa. Sasa wewe unabaki unamtukuza Mzungu kisa yeye kaandika vitabu. Huo ndio uchizi wenyewe eti kisa umesoma kitabu kilicho andikwa na Mzungu unasema wewe umeendelea, TUKUZA KILICHO CHAKOMimi siyo kichaa.....so please don't call me names.
Nani amekwambia science ni ya wazungu pekee?
Sasa ukianza kuandika viroja tunaweza kufanya discussion ya hii mada?
Go and educate yourself old man.
You must be so ignorant old man.Science ya Africa ndio hii tunayokwambia wewe unaleta science ya wazungu ya kukariri vitabu
Hahaha umenikumbusha mkuu, kwetu walikua wanadanganyana ya mtu mzima ina kiwembe sasa nilikua najiuliza mbona hao waliowa sijawahi kuona hata mmoja akipelekwa hospitali kwa kukakatwa na kiwembe?Mimi nahisi labda kuna ushirikina unahusika! Ila kwq hali ya kawaida haiwezekani jombaaaaa!
Ila zamani wazazi walitumia kama mbinu ya kuwaogopesha watoto wasishiriki ngono mapema!
Ukiwaza kutongoza tu linakuja wazo la kunatana basi unaogopa kweli......
Au walikuwa wanasema papuchi za aliyekuzidi umri huwa zinaunguza gegedo
Wewe ni lofa na wala hujijui wewe ni lofa.Babu zetu walikua wanafanya hivi kwa ajili ya kulenda ndoa zao zadi ya michepuko hii ni science ya Africa. Sasa wewe unabaki unamtukuza Mzungu kisa yeye kaandika vitabu. Huo ndio uchizi wenyewe eti kisa umesoma kitabu kilicho andikwa na Mzungu unasema wewe umeendelea, TUKUZA KILICHO CHAKO
Ndio shida ya kukaririYou must be so ignorant old man.
Science is a body of knowledge which have been proved to be scientifically correct.
Wewe unasema uchawi/ushirikina ni science ukitakiwa utoe uthibitisho utaweza?
Hapo ulipo unatumia artificial intelligence (simu yako ya mkononi) lakini bado unaongea ujinga mwingi.
Pole sana.
Shida ya kukariri ndio, unapinga hata ukweli kwa kumwaga povu.Wewe ni lofa na wala hujijui wewe ni lofa.
Eti nitukuze kilicho changu.
Mimi siwezi fuata mafundisho ya kipuuzi yasiyopatana na akili.
Jambo muhimu unatakiwa uelewe.....science ni ya watu wote. Wapo wavumbuzi mashuhuri wa Kiafrika wamechangia maendeleo ya science siyo watu wa bara Uropa pekee.
Mkuu, seriously wewe ni wakiwango cha chini sana kujadili haya mambo. Nimekushauri jihabarishe kwanza kabla hujarukia mambo.
Nilichokariri ni kipi?Ndio shida ya kukariri
Ndio hivi hivi mnajifanya mmesoma mnaelewa kila kitu badae unakuja kuomba past paper za Necta hapaWewe ni lofa na wala hujijui wewe ni lofa.
Eti nitukuze kilicho changu.
Mimi siwezi fuata mafundisho ya kipuuzi yasiyopatana na akili.
Jambo muhimu unatakiwa uelewe.....science ni ya watu wote. Wapo wavumbuzi mashuhuri wa Kiafrika wamechangia maendeleo ya science siyo watu wa bara Uropa pekee.
Mkuu, seriously wewe ni wakiwango cha chini sana kujadili haya mambo. Nimekushauri jihabarishe kwanza kabla hujarukia mambo.
Wewe utakuwa jinga zaidi ya nilivyofikiri awali.Ndio hivi hivi mnajifanya mmesoma mnaelewa kila kitu badae unakuja kuomba past paper za Necta hapa
Endelea kufuata mafundisho ya wazungu.Wewe ni lofa na wala hujijui wewe ni lofa.
Eti nitukuze kilicho changu.
Mimi siwezi fuata mafundisho ya kipuuzi yasiyopatana na akili.
Jambo muhimu unatakiwa uelewe.....science ni ya watu wote. Wapo wavumbuzi mashuhuri wa Kiafrika wamechangia maendeleo ya science siyo watu wa bara Uropa pekee.
Mkuu, seriously wewe ni wakiwango cha chini sana kujadili haya mambo. Nimekushauri jihabarishe kwanza kabla hujarukia mambo.
Sifuati mafundisho ya wazungu. Nafuata mafundisho yanayopatana na akili.Endelea kufuata mafundisho ya wazungu.
Nguva wapo angalia discovery utajua, IPO documentary ya hivi karibuni tuMbona hata nguva anaonekana kwenye video nyingi tu, lakini hakuna binadamu hata mmoja aliyewahi kumuona kwa macho, hata hizo video za watu kunatana ni za kutengeneza, hakuna mtu kashuhudia tukio hilo. Video zinatengenezwa tu.
We jamaa kamwe huwezi kuelewa sababu ubongo wako umekwisha gandaBabu zetu walikua wanafanya hivi kwa ajili ya kulenda ndoa zao zadi ya michepuko hii ni science ya Africa. Sasa wewe unabaki unamtukuza Mzungu kisa yeye kaandika vitabu. Huo ndio uchizi wenyewe eti kisa umesoma kitabu kilicho andikwa na Mzungu unasema wewe umeendelea, TUKUZA KILICHO CHAKO