Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

Aliwadanganya nyie wajinga ambao ndio wengi, mfano alisema makinikia tumeibiwa na wasaliti kina Mwanyika wa ACACIA ila cha kushangaza akampa ubunge huyo Mwanyika na kumuita mzalendo!!

Chenge walisign hyo mikataba ya kifisadi ila mbona hakumpeleka kortini? Vp Kina Nchambi na ujangili aliokamatwa na silaha za kivita?

Haya akasema anajenga reli kwa pesa za ndani kumbe ni Mikopo na mama analipa madeni makubwa.

Akasema ATCL inaingiza faida tu sasa ikawaje tena kumbe hasara kila mwaka toka 2017!!

So kelele za jukwaani kuonekana mzalendo haisaidii kma hakuna vitendo.
 
Usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe. Watanzania wa Sasa ni waelewa kuliko hata ninyi mnaojiita viongozi.
Kama ni waelewa CCM isingekuwepo madarakani hadi leo. Yaani mnajua CCM ni mafisadi hamuwatoi wala kuanzisha chama kingine ila mnajiita mnajielewa?
 

Wabongo ni wepesi sana kusema tunaweza tunaweza, wape sasa uone sarakasi..

Air tanzania ile pale wapo wabongo, zipo tu pale zimeyatamia huku KQ, RA, EA zikipasua anga...
 
Kama ni waelewa CCM isingekuwepo madarakani hadi leo. Yaani mnajua CCM ni mafisadi hamuwatoi wala kuanzisha chama kingine ila mnajiita mnajielewa?
Vitendo vilikuwepo, Ila ni tofauti kabisa na maneno yake ya jukwaani.
 
Ile ripoti ya makinikia ilikua utopolo,,
 
Uko sawa
 
Watanzania wengi hatuna ilimu,, yaani, hatujafuta ujinga[emoji28][emoji28]
 
Sasa hayo mambo ya kuchakachua ripoti ya mruma ndio nasikia kwako. Inaonekana ni mzushi tu kwa chuki. Nchi hii watu sio wajinga ila vibaraka na wabinafsi ndio wamejaa. Eti jiwe akachakachua.. kama una shahada chuo kikuu itakua cheti feki.
Watu walipoint hii fact wazi siku ile ile , haiwezekani kila kontena liwe na dhahabu kg 7 halafu mruhusu wayachukue, thamani ya hela walitodaiwaa acacia ilizidi hata uchumi wa mexico,, we uliona wapi?
Uongo mtupu
 
kmbwembwe chukua toka kwangu. Ripoti ya Mruma iliandikwa kitaalamu ila ilipofika kwake akaichakachua isome Kilo 7 badala ya gramu 700.

Kama angekuwa haja hakachua basi tungepata Ile USD 190 Billion
Mie nahisi mruma alipata maelekezo,, hiyo ripoti lengo lake ilikua itumike kumchafua jk, ilikua politicized
 
Unapoteza nguvu na wakati bure. Aliyetuaminisha ni mchanga ni nani kama sio hao acacia wakiungwa mkono na washirika wao serikalini.
Magufuli alichofanya ni kuweza kuweka wazi kilichokua ndani ya huo uliyoitwa mchanga na hao wezi.
Sisi ndo tuliita mchanga, document za officially hazikusema ni mchanga,, sasa kama ni mchanga kwani kwao hakuna mchanga?,
Uongo ni kudanganya kila container lina kg 7 za dhahabu,
Binafsi nilipoint mapema tu dakika chache baada ya ripoti, hapa hapa jf..
Nikaanza kupata simu hazieleweki, entrapment, [emoji23],"ooh, njoo sehemu x Kuna deal la hela tukutane......
 
Sukuma Gang mtateseka sana Walai,
 
Alidanganya watanzania wakaingingia kingi aisee ,namwonea huruma mama Samia
 
Wabongo ni wepesi sana kusema tunaweza tunaweza, wape sasa uone sarakasi..

Air tanzania ile pale wapo wabongo, zipo tu pale zimeyatamia huku KQ, RA, EA zikipasua anga...
Kila mtu anajua kulalamika akiwa amekaa viti virefu akipewa nafasi afanye mapinduzi ni vichekesho vitupu.
 
Msimamo ni nini?? Hata kunya mezani badala ya chooni ni msimamo, swali je ni msimamo mzuri?

Hoja kuwa hatutapata Rais mwingine kama yeye naikubali. Watanzania hatutaki tena Rais mwongo, muuaji, mwizi na anayewagawa watanzania kwa itikadi za chama.
 
Watu walipoint hii fact wazi siku ile ile , haiwezekani kila kontena liwe na dhahabu kg 7 halafu mruhusu wayachukue, thamani ya hela walitodaiwaa acacia ilizidi hata uchumi wa mexico,, we uliona wapi?
Uongo mtupu
Tanzania tuna watu wajinga sana halafu ni wengi kuliko werevu. Imekuwa shida sana, bado wanamuamini Mwendazake na uwongo wake
 
Sasa hayo mambo ya kuchakachua ripoti ya mruma ndio nasikia kwako. Inaonekana ni mzushi tu kwa chuki. Nchi hii watu sio wajinga ila vibaraka na wabinafsi ndio wamejaa. Eti jiwe akachakachua.. kama una shahada chuo kikuu itakua cheti feki.
Kama uliamini kuwa utapata Noah kutokana na malipo ya makinikia unajua unastahili kukaa kundi gani.

Amandla...
 
Sawa hata kama tuliambulia kidogo lakini kazi hii ilifanywa na Watanzania,lini Watanzania tuliowasonesha kwa Kodi zetu watajengewa uwezo wa kufanya Mambo makubwa,ikiwa kila kitu ni mzungu anatufanyia?hata kufunga mfumo wa kumonita umeme mpaka tuite Waindi kuja kufunga tena kwa malipo ya mabilioni,ina maana Tanzania amna wataalamu wa IT?hao wakina Maluma mnaowadhalau ndio walioleta chachu ya kubadilisha sheria za madini,pamoja na kutishwa sana na wapuuzi kama nyie eti tutashitakiwa Miga, mbona accecia walifutiliwa mbali na hawakwenda mahakamani Kudai fidia,Kama walikuwa halali na hawaibi?
 

..barrick ndio walioanzisha acaccia.

..acaccia = barrick + minority shareholders.

..kilichotokea ni minority shareholders kuuza hisa zao kwa barrick.

..sasa hivi barrick wapo nchini wakiendelea kuchimba dhahabu.

..kama serikali inadai accacia walikuwa wezi basi barrick nao ni wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…