Hivi tungekodi kampuni ya Uingereza kuchunguza makinikia tungejua tulichojua?

Magufuli hatabaki kuwa Magufuli pamoja na uongo wake au ufisadi wake au chchote kile alichokifanya vibaya.

Lakini kamwe hatokuja tokea kiongozi au Rais mwenye msimamo kama Magufuli. He was the best president. Hayupo, hatukonae tena, he has gone wacha apumzike kwa amani.

Magu alikemea madudu waziwazi, Magu alipenda nchi yake, Magu alikuwa mzalendo wa kweli kweli, Magu alikuwa Rais wa tofauti na watangulizi wake. Hakuna atakae mfikia kwa uongozi wake.
Aliwadanganya nyie wajinga ambao ndio wengi, mfano alisema makinikia tumeibiwa na wasaliti kina Mwanyika wa ACACIA ila cha kushangaza akampa ubunge huyo Mwanyika na kumuita mzalendo!!

Chenge walisign hyo mikataba ya kifisadi ila mbona hakumpeleka kortini? Vp Kina Nchambi na ujangili aliokamatwa na silaha za kivita?

Haya akasema anajenga reli kwa pesa za ndani kumbe ni Mikopo na mama analipa madeni makubwa.

Akasema ATCL inaingiza faida tu sasa ikawaje tena kumbe hasara kila mwaka toka 2017!!

So kelele za jukwaani kuonekana mzalendo haisaidii kma hakuna vitendo.
 
Mpaka anafuatwa consultancy kutoka Ulaya ujue uzoefu wa hawa wa ndani ni mbaya. Hawana ushindani unaotakiwa kuweza kupewa kazi (competence), naamini wizara mpaka kuwafuata hao waingereza watakuwa wamejiridhisha vya kutosha.

Kumbuka katika team ya wizara kuna mtu kama Mataragio huyu ni mtaalam wa haya masuala aliyewahi kufanya kazi USA.

Wabongo ni wepesi sana kusema tunaweza tunaweza, wape sasa uone sarakasi..

Air tanzania ile pale wapo wabongo, zipo tu pale zimeyatamia huku KQ, RA, EA zikipasua anga...
 
Kama ni waelewa CCM isingekuwepo madarakani hadi leo. Yaani mnajua CCM ni mafisadi hamuwatoi wala kuanzisha chama kingine ila mnajiita mnajielewa?
Vitendo vilikuwepo, Ila ni tofauti kabisa na maneno yake ya jukwaani.
 
Ndugu zangu Watanzania, kuna watu bado hawajui au hawaamini kama ukoloni na ubeberu ni matokeo ya hila kubwa ya nchi za magharibi na raia wao ikiwepo marekani. Kuna ushirika mkubwa kati ya nchi za kibeberu na makampuni mbalimbali ya nchi hizo linapokuja suala la kuendelea kumiliki uchumi wa nchi changa hasa za afrika.

Hivi niwaulize swali. Kama hayati Magufuli asingetuongoza kujiamini wenyewe tukakodi kampuni ya kingereza kufanyia uchunguzi yale makinikia acacia wakiita mchanga tungejua kile kilichokua ndani yake?

Januari Makamba ni mtu hawezi kufikiri kwa akili yake hadi akodishe mzungu kwa hela ya umma kufikiri kwa ajili yake. Sijui nini anapata kwa kuwaamini sana wageni hasa wazungu. Tabia kama hiyo ndio analeta kwenye uongozi wa mashirika nyeti chini ya wizara yake. Tangu amewekwa waziri wa nishati tumeona akisaini kandarasi na wageni kusimamia mambo yetu ya uchumi. Kandaradi moja baada ya nyingine.

Tumeona ikiletwa kampuni ya kihindi kukodisha mfumo wa electronic wa usimamizi tanesco kwa dola milioni 30. Je hakuna watanzania wanaweza kubuni mfumo kwa shughuli kama hiyo. Je hao wahindi walishindanishwa na kamuni zipi?

Juzi tena hapa tumeona mkataba na kampuni ya kingereza eti kushauri tpdc mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji. Hizo kampuni zinafuata templates za kinyonyaji tu sisi kubwaga resources zetu kwa wawekezaji. Tumeona timu yetu ya wazalendo ya kina kabudi ikiweka namna mpya ya mikataba kwenye madini hadi nchi nyingi za kiafrika ziki copy na ku paste mikataba yetu. Ukiuliza kama hiyo kampuni ya kingereza imepewaje hiyo kazi huwezi ona kama wameshindanishwaje.

Hawa mareactionaries wapinga maendeleo mama anawarudisha ndio wataturudisha nyuma kwa maendeleo. Wao wanatafuta maendeleo yao binafsi hivyo watatumika na maadui wa maendeleo ya umma.
Ile ripoti ya makinikia ilikua utopolo,,
 
Kwa uandishi wako na mpangilio wa sentensi nahisi Elimu yako siyo zaidi ya Form 4.

Kwa kifupi ripoti ya MAKINIKIA ilikuwa rubbish yaani takataka.

Baada ya kuwa Rais alitaka ku-prove kuwa ACACIA wanatuibia madini kupitia makinikia, ndipo akaunda tume ya Prof Mruma na Prof Osoro. Kiukweli Tume ya Prof Mruma ilikuta kuwa kontaina la 20ft lina 0.7Kg ya madini ya dhahabu na silver. Na kiasi hicho ndiyo kimekuwa kikilipiwa na ACACIA/ Barrick kodi sahihi kuanzia 1998.

Kwa vile Jiwe alidhani tunaibiwa madini wakati si kweli akaichakachua ripoti ya Prof Mruma na kuandika kuwa kuna 7.0 Kg kwa kila container. Hapa ndiyo ile hoja ya ACACIA kukwepa ushuru wa USD 190 bilioni au Tsh 450 Trillioni ndipo ilipojitokeza. Hiki kitu Tundu Lissu aliita professorial rubbish kwa kuwa ni uzandiki mtupu. Na kweli hatujapata hiyo Tsh 450 Trilion aka Noah moja kwa kila Mtanzania.

Ila Tanzania Ina wajinga wengi sana kama kmbwembwe wao bado wanaamini uwongo wa Magufuli
Uko sawa
 
Magufuli alikuwa anajuwa kiwango cha ujinga wa Watanzania walio wengi na ndiyo ukawa mtaji wake kwa propaganda za UWONGO. Ametuachia population ya wajinga wengi sana kama huyu kmbwembwe, wanapinga kila anachofanya Rais Samia na Makamba. Wajinga wanaamini eti hii mikataba Januari Makamba amepiga simu hizo kampuni ikaja. Kumbe mchakato umeanza mwaka 2018
Watanzania wengi hatuna ilimu,, yaani, hatujafuta ujinga[emoji28][emoji28]
 
Sasa hayo mambo ya kuchakachua ripoti ya mruma ndio nasikia kwako. Inaonekana ni mzushi tu kwa chuki. Nchi hii watu sio wajinga ila vibaraka na wabinafsi ndio wamejaa. Eti jiwe akachakachua.. kama una shahada chuo kikuu itakua cheti feki.
Watu walipoint hii fact wazi siku ile ile , haiwezekani kila kontena liwe na dhahabu kg 7 halafu mruhusu wayachukue, thamani ya hela walitodaiwaa acacia ilizidi hata uchumi wa mexico,, we uliona wapi?
Uongo mtupu
 
kmbwembwe chukua toka kwangu. Ripoti ya Mruma iliandikwa kitaalamu ila ilipofika kwake akaichakachua isome Kilo 7 badala ya gramu 700.

Kama angekuwa haja hakachua basi tungepata Ile USD 190 Billion
Mie nahisi mruma alipata maelekezo,, hiyo ripoti lengo lake ilikua itumike kumchafua jk, ilikua politicized
 
Unapoteza nguvu na wakati bure. Aliyetuaminisha ni mchanga ni nani kama sio hao acacia wakiungwa mkono na washirika wao serikalini.
Magufuli alichofanya ni kuweza kuweka wazi kilichokua ndani ya huo uliyoitwa mchanga na hao wezi.
Sisi ndo tuliita mchanga, document za officially hazikusema ni mchanga,, sasa kama ni mchanga kwani kwao hakuna mchanga?,
Uongo ni kudanganya kila container lina kg 7 za dhahabu,
Binafsi nilipoint mapema tu dakika chache baada ya ripoti, hapa hapa jf..
Nikaanza kupata simu hazieleweki, entrapment, [emoji23],"ooh, njoo sehemu x Kuna deal la hela tukutane......
 
Ndugu zangu Watanzania, kuna watu bado hawajui au hawaamini kama ukoloni na ubeberu ni matokeo ya hila kubwa ya nchi za magharibi na raia wao ikiwepo marekani. Kuna ushirika mkubwa kati ya nchi za kibeberu na makampuni mbalimbali ya nchi hizo linapokuja suala la kuendelea kumiliki uchumi wa nchi changa hasa za afrika.

Hivi niwaulize swali. Kama hayati Magufuli asingetuongoza kujiamini wenyewe tukakodi kampuni ya kingereza kufanyia uchunguzi yale makinikia acacia wakiita mchanga tungejua kile kilichokua ndani yake?

Januari Makamba ni mtu hawezi kufikiri kwa akili yake hadi akodishe mzungu kwa hela ya umma kufikiri kwa ajili yake. Sijui nini anapata kwa kuwaamini sana wageni hasa wazungu. Tabia kama hiyo ndio analeta kwenye uongozi wa mashirika nyeti chini ya wizara yake. Tangu amewekwa waziri wa nishati tumeona akisaini kandarasi na wageni kusimamia mambo yetu ya uchumi. Kandaradi moja baada ya nyingine.

Tumeona ikiletwa kampuni ya kihindi kukodisha mfumo wa electronic wa usimamizi tanesco kwa dola milioni 30. Je hakuna watanzania wanaweza kubuni mfumo kwa shughuli kama hiyo. Je hao wahindi walishindanishwa na kamuni zipi?

Juzi tena hapa tumeona mkataba na kampuni ya kingereza eti kushauri tpdc mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji. Hizo kampuni zinafuata templates za kinyonyaji tu sisi kubwaga resources zetu kwa wawekezaji. Tumeona timu yetu ya wazalendo ya kina kabudi ikiweka namna mpya ya mikataba kwenye madini hadi nchi nyingi za kiafrika ziki copy na ku paste mikataba yetu. Ukiuliza kama hiyo kampuni ya kingereza imepewaje hiyo kazi huwezi ona kama wameshindanishwaje.

Hawa mareactionaries wapinga maendeleo mama anawarudisha ndio wataturudisha nyuma kwa maendeleo. Wao wanatafuta maendeleo yao binafsi hivyo watatumika na maadui wa maendeleo ya umma.
Sukuma Gang mtateseka sana Walai,
 
Aliwadanganya nyie wajinga ambao ndio wengi, mfano alisema makinikia tumeibiwa na wasaliti kina Mwanyika wa ACACIA ila cha kushangaza akampa ubunge huyo Mwanyika na kumuita mzalendo!!

Chenge walisign hyo mikataba ya kifisadi ila mbona hakumpeleka kortini? Vp Kina Nchambi na ujangili aliokamatwa na silaha za kivita?

Haya akasema anajenga reli kwa pesa za ndani kumbe ni Mikopo na mama analipa madeni makubwa.

Akasema ATCL inaingiza faida tu sasa ikawaje tena kumbe hasara kila mwaka toka 2017!!

So kelele za jukwaani kuonekana mzalendo haisaidii kma hakuna vitendo.
Alidanganya watanzania wakaingingia kingi aisee ,namwonea huruma mama Samia
 
Magufuli hatabaki kuwa Magufuli pamoja na uongo wake au ufisadi wake au chchote kile alichokifanya vibaya.

Lakini kamwe hatokuja tokea kiongozi au Rais mwenye msimamo kama Magufuli. He was the best president. Hayupo, hatukonae tena, he has gone wacha apumzike kwa amani.

Magu alikemea madudu waziwazi, Magu alipenda nchi yake, Magu alikuwa mzalendo wa kweli kweli, Magu alikuwa Rais wa tofauti na watangulizi wake. Hakuna atakae mfikia kwa uongozi wake.
Msimamo ni nini?? Hata kunya mezani badala ya chooni ni msimamo, swali je ni msimamo mzuri?

Hoja kuwa hatutapata Rais mwingine kama yeye naikubali. Watanzania hatutaki tena Rais mwongo, muuaji, mwizi na anayewagawa watanzania kwa itikadi za chama.
 
Watu walipoint hii fact wazi siku ile ile , haiwezekani kila kontena liwe na dhahabu kg 7 halafu mruhusu wayachukue, thamani ya hela walitodaiwaa acacia ilizidi hata uchumi wa mexico,, we uliona wapi?
Uongo mtupu
Tanzania tuna watu wajinga sana halafu ni wengi kuliko werevu. Imekuwa shida sana, bado wanamuamini Mwendazake na uwongo wake
 
Sasa hayo mambo ya kuchakachua ripoti ya mruma ndio nasikia kwako. Inaonekana ni mzushi tu kwa chuki. Nchi hii watu sio wajinga ila vibaraka na wabinafsi ndio wamejaa. Eti jiwe akachakachua.. kama una shahada chuo kikuu itakua cheti feki.
Kama uliamini kuwa utapata Noah kutokana na malipo ya makinikia unajua unastahili kukaa kundi gani.

Amandla...
 
Na mbaya zaidi, ulikuwa ni ukaguzi wa upande mmoja... eti mnaikagua Acacia lakini Inspection Team YOTE inatoka serikalini na Acacia hawakuruhusiwa kutia pua!!

Sasa sijui ni nani angeamini ripoti ya aina hiyo zaidi ya misukule wake!! Matokeo yake ndo yale, ripoti inasema tunadai Sh 420 Trillion wakati tulichoambulia hakifiki hata 0.5% ya hizo 420 Trillion!
Sawa hata kama tuliambulia kidogo lakini kazi hii ilifanywa na Watanzania,lini Watanzania tuliowasonesha kwa Kodi zetu watajengewa uwezo wa kufanya Mambo makubwa,ikiwa kila kitu ni mzungu anatufanyia?hata kufunga mfumo wa kumonita umeme mpaka tuite Waindi kuja kufunga tena kwa malipo ya mabilioni,ina maana Tanzania amna wataalamu wa IT?hao wakina Maluma mnaowadhalau ndio walioleta chachu ya kubadilisha sheria za madini,pamoja na kutishwa sana na wapuuzi kama nyie eti tutashitakiwa Miga, mbona accecia walifutiliwa mbali na hawakwenda mahakamani Kudai fidia,Kama walikuwa halali na hawaibi?
 
..barrick ndio walioanzisha acaccia.

..acaccia = barrick + minority shareholders.

..kilichotokea ni minority shareholders kuuza hisa zao kwa barrick.

..sasa hivi barrick wapo nchini wakiendelea kuchimba dhahabu.

..kama serikali inadai accacia walikuwa wezi basi barrick nao ni wezi.
 
Back
Top Bottom