zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Aliwadanganya nyie wajinga ambao ndio wengi, mfano alisema makinikia tumeibiwa na wasaliti kina Mwanyika wa ACACIA ila cha kushangaza akampa ubunge huyo Mwanyika na kumuita mzalendo!!Magufuli hatabaki kuwa Magufuli pamoja na uongo wake au ufisadi wake au chchote kile alichokifanya vibaya.
Lakini kamwe hatokuja tokea kiongozi au Rais mwenye msimamo kama Magufuli. He was the best president. Hayupo, hatukonae tena, he has gone wacha apumzike kwa amani.
Magu alikemea madudu waziwazi, Magu alipenda nchi yake, Magu alikuwa mzalendo wa kweli kweli, Magu alikuwa Rais wa tofauti na watangulizi wake. Hakuna atakae mfikia kwa uongozi wake.
Chenge walisign hyo mikataba ya kifisadi ila mbona hakumpeleka kortini? Vp Kina Nchambi na ujangili aliokamatwa na silaha za kivita?
Haya akasema anajenga reli kwa pesa za ndani kumbe ni Mikopo na mama analipa madeni makubwa.
Akasema ATCL inaingiza faida tu sasa ikawaje tena kumbe hasara kila mwaka toka 2017!!
So kelele za jukwaani kuonekana mzalendo haisaidii kma hakuna vitendo.